Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Wale madaktari na watumishi wa afya wa miaka ijayo waliosimamishwa chuo kwa tuhuma za kuwa vinara wa mitafaruku wameanza kurudishwa mmoja baada ya mwingine. Kila m1 anaitwa kwenye kamati ya nidhamu na baadaye anaelekezwa kwenda chuoni kusaini mkataba mbele ya mwanasheria wa chuo. Mkataba huo unahusu kutojihusisha na vuguvugu lolote chuon hapo kinyume chake unafukuzwa chuo. Mahojiano yameanza tar 4 na bado yanaendelea. Source-wahusika waliorudishwa