Muhas what you are doing is not fair

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Chuo cha Muhimbili ndicho kimekua cha mwisho kutoa selection ,wametoa ijumaa iliyopita,tar20/9/13, wanasema reporting tarehe 07/10/2013, barua za admission hazijatoka, hivi wanafikiri watu wote wanaishi DSM?, watu wa mikoani watapata barua lini ili wasafiri hadi DSM, mbaya zaidi wanasema lazima ulipe tuition fee na direct cost ndo uruhusiwe kuingia chuoni, hawajui kwa mtanzania wa kawaida kupata 1.8 milion in such a short time ni ngumu, this is not fair at all
 

CALM DOWN!!!!!...

muhas wanaelewa kua wanafunzi wake wote wanapata mkopo 100%.. so hizo allegations kwamba kuingia darasani mpaka uwape 1.8m sijui umezitoa wapi

pili...kuhusu admission letter wala usiwaze coz hiyo tarehe 7 ukifika watakupa.. na registration hua ni kama wiki mbili.. ilikukamilisha unahitaji kitu kama 90k hivi to be precise...ata chumba utakuta umeshapangiwa huko chole ..so wewe ni kuamia tu pesa watakudai boom likisha toka....muhas hawana mbwembwe nyingi...its the home of excellence
 
dogo nenda upige shule,shauri zako ujipendekeze kulipa haraka haraka iyo 1.8m utakuwa umetoa msaada.
usiwe na tension muhas ni govt university,ata mkopo utakaodaiwa baada ya kuhitimu ni meals and accomodation tu.
 
Mnaongea kwa mazoea tu, nendeni kwenye website yao msome maelezo yaliyo kwenye tangazo lao la watu waliochaguliwa,
 
Muhas hawana shida ndo maana wanaoijua wanamwambia mleta mada hasipanik!!! We av bn there n we know it!
 
Ukatulie usome ndugu yangu pale kwa misup ni nooomaaa..sijui wanaona sifa...usije ukaisikia kwenye bomba tu...full stress aisee
 
Kijana nenda kasome wala usipanic, vitu ambavyo ni lazima wakati wa registration Muhas ni hivi hapa;

1.Medical capitation fee(kama una bima ya afya hulipi)
2.Identity card fee
3.MUHASO fee
4.Registration fee
5.Examination fee

Hayo mambo ya tuition fee ni just a formality ina apply kwa private candidates only, fee yako itatoka MOeVT directly kuja chuoni wala hutaishika mkononi. Accomodation watakudai baada ya boom kutoka.

Nenda na pesa yako ya kujikimu kwa chakula na mahitaji mengine wakati unasubiria boom pamoja na hayo matano hapo juu utakuwa on the safe side. Kila la heri daktari mtarajiwa.
 
asanteni sana ndugu zanguni.mimi mwenyewe nimechaguliwa pale B.pharm.hapa nilikuwa nachanganyikiwa kupata mil 1.6 za tuition fee kama tulivyoambiwa.kumbe inabidi niwe mpole
 
thanx 4 da tip
 
Kwa mnaosoma MUHAs hivi na degree zenu especially (medicine) wanaziclassify i.e. First class, 2nd etc etc.maana kuna mdau amenambia hawaclassify maana kuna watu wanawezajiita first class doctor etc etc naombeni mwongozo kwa hilo..!
 
kulipot ni tarehe ngap kwa wale wa diploma first year?plzz
 
nadhan itakuwa saw a name degree trh7 kwa7bu mwaka wa masomo unaanza trh14 ingawa can uhakika kivile
 
MUHASSO ilishafutwa. Waliolipa hela ya MUHASSO kwa mara ya mwisho walirudishiwa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…