Chuo cha Muhimbili ndicho kimekua cha mwisho kutoa selection ,wametoa ijumaa iliyopita,tar20/9/13, wanasema reporting tarehe 07/10/2013, barua za admission hazijatoka, hivi wanafikiri watu wote wanaishi DSM?, watu wa mikoani watapata barua lini ili wasafiri hadi DSM, mbaya zaidi wanasema lazima ulipe tuition fee na direct cost ndo uruhusiwe kuingia chuoni, hawajui kwa mtanzania wa kawaida kupata 1.8 milion in such a short time ni ngumu, this is not fair at all