Habari Jukwaani. Tunatafuta Muhasibu mwenye level ya Degree kwa ajili ya kazi za Kihasibu. Maomba yanaweza kutumwa mwenye email [email protected] au Kwa whatsup number 0713664912. Hakikisha umeambatanisha CV na Vyeti. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 November. Karibuni