Tetesi: Muheshimiwa SSH mteue Prof. Madam Geraldine Arbogast Rashel wa GPSA kuwa waziri wa Viwanda na Biashara.

Volodimiri Zelensiki

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,154
Reaction score
3,417
Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa.
Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko na machapisho badala ya kuboresha mifumo na kutumia rasilimali na nguvu wanazozikuta kwenye sehemu zao za uteuzi wao hufifisha utendaji kwa kutanguliza nadharia kuliko za vyuoni ambazo practically hazina matokeo.
Katika ufuatiliaji wangu nimefuatilia utendaji wa Taasisi mmoja inaitwa wakala wa huduma za ununuzi serikalini au GPSA na kubaini kuundwa na watu wenye weledi mkubwa hasa mtendaji mkuu wa Taasisi na managers wa mikoa wa Taasisi hiyo inayohusika na ununuzi na usambazi wa bidhaa za Umma. Wanauelewa wa Sheria za ununuzi na uongozi maadili yao yako vizuri.
Ceo wa GPSA may be is best hata kuwa waziri wa fedha nashauri yeye na watendaji wake wateuliwe ili kudhibiti matumizi ya hovyo kwenye halmashauri zetu.
 
Naona umeuamua kujipendekeza
 
Kwanini usiteuliwe wewe

Unawapigia wenzako chapuo

Ova
 
Watu wanajua kuharibia Sana watu, hukawii kukuta huyo kishapendekezwa, kitendo cha kurushwa Tu humu jina lake tiyari washamuharibia, maana interpretation ni ana makundi mtandaoni..

Mh SSH mteue BAMBUSHKA awe Waziri wako wa mitandaoni, hivi uwaziri ni rahisi kuupata😀

Everyday is Saturday...................................😎
 
Mheshimiwa rais, tafadhali mteue Kichuguu wa Jamii forums Kuwa Waziri Mkuu; atafaa sana.
 
Back
Top Bottom