PreGE2025 Muheza Nako wajiapiza na kuahidi Ushirikiano, Wasema No Reforms No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ponjoro mdogo, hiyo idadi yako gwajimalize halafu uje uandike tena. Hapo hakuna Zuchu aliyeletwa kuonesha nyeti wala Diamond wa p Diddy wa kup ididy.
Wewe kaburu mropokaji hao watu hata mia hamsini hawafiki.
 
Wewe gabachori wa kaburu mweusi aitwaye chura kiziwi, kaburu wa Rhodesia ni yule unayekataa CHADEMA wasipewe viwanja vya mkutano,unatafuta kumnyonga Lissu umempa UHAINI.Damu ya Mdude na mzee Kibao inakulilia.
Kaburu alimnyonga Biko,akamfunga jela Mandela..Tukawapokea wapigania UHURU,tukaingilia siasa za ndani ya nchi zao kutafuta haki,lakini kaburu mweusi na ponjoro mnateka na kuuwa.
 
Mtu yeyote mwenye lugha na mlengo wa kuwabagua watu kwa asili au rangi huyo ni kaburu. ml

Tule Mwanamuziki Sasa Akatafute Kazi Ya Kufanya
 
Mtu yeyote mwenye lugha na mlengo wa kuwabagua watu kwa asili au rangi huyo ni kaburu. ml
Ndio maana tunapinga utekaji wa Watu unaowaita kenge. Ni ubaguzi mbaya mno unamwita mlipa kodi ni kenge.
Watu wanalipa kodi na tozo kibao ili ulipwe mshahara mnono na uhonge machawa,wewe unambagua kwa kumwita mbwa mpumbavu na kenge.
Kaburu mweusi hutaki kuondoa sheria mbovu za uchaguzi,unafaidika na refa na upo tayari kuumiza watu kwa uroho wa madaraka,ni ubaguzi mbaya mno.
 
Alimwita mwenzake Ponjolo ana tofauti gani na huyu aliyemwita mwingine kenge?
 
So sad kapiga Kura miaka yote Leo ako na mvua .CCM waende Tu
 
Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    543.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom