Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Wewe kaburu mropokaji hao watu hata mia hamsini hawafiki.Ponjoro mdogo, hiyo idadi yako gwajimalize halafu uje uandike tena. Hapo hakuna Zuchu aliyeletwa kuonesha nyeti wala Diamond wa p Diddy wa kup ididy.
Wewe gabachori wa kaburu mweusi aitwaye chura kiziwi, kaburu wa Rhodesia ni yule unayekataa CHADEMA wasipewe viwanja vya mkutano,unatafuta kumnyonga Lissu umempa UHAINI.Damu ya Mdude na mzee Kibao inakulilia.Wewe kaburu mropokaji hao watu hata mia hamsini hawafiki.
Wewe gabachori wa kaburu mweusi aitwaye chura kiziwi, kaburu wa Rhodesia ni yule unayekataa CHADEMA wasipewe viwanja vya mkutano,unatafuta kumnyonga Lissu umempa UHAINI.Damu ya Mdude na mzee Kibao inakulilia.
Kaburu alimnyonga Biko,akamfunga jela Mandela..Tukawapokea wapigania UHURU,tukaingilia siasa za ndani ya nchi zao kutafuta haki,lakini kaburu mweusi na ponjoro mnateka na kuuwa.
Ndio maana tunapinga utekaji wa Watu unaowaita kenge. Ni ubaguzi mbaya mno unamwita mlipa kodi ni kenge.Mtu yeyote mwenye lugha na mlengo wa kuwabagua watu kwa asili au rangi huyo ni kaburu. ml
Alimwita mwenzake Ponjolo ana tofauti gani na huyu aliyemwita mwingine kenge?Ndio maana tunapinga utekaji wa Watu unaowaita kenge. Ni ubaguzi mbaya mno unamwita mlipa kodi ni kenge.
Watu wanalipa kodi na tozo kibao ili ulipwe mshahara mnono na uhonge machawa,wewe unambagua kwa kumwita mbwa mpumbavu na kenge.
Kaburu mweusi hutaki kuondoa sheria mbovu za uchaguzi,unafaidika na refa na upo tayari kuumiza watu kwa uroho wa madaraka,ni ubaguzi mbaya mno.
Ponjolo na kaburu ni wauaji kama Nazi ya Hitler lakini kenge hawezi kulipa kodi na tozo zinazowapa mishahara minono.Alimwita mwenzake Ponjolo ana tofauti gani na huyu aliyemwita mwingine kenge?