WAKATI wabunge wakijipandishia posho za vikao mpaka 200,000/-
Watanzania(wadanganyika) waendelea kupokea malipo ya kutofanya uchaguzi makini, pale wanapoenda hospitali kwa matumaini ya
ya kutibiwa na kukuta wimbo wa hakuna dawa, oxygeni imeisha, hamna dawa ya kuosha vidonda, hamna dawa ya usingizi ili kufanyiwa operation, hakuna maji ya dripu, oh nyuzi zimeisha, hamna POP, OH SIJUI NINI NA NINI NA NINI Hakuna kitu.
haya utakuta kwenye hospitali zetu za mikoa na rufaa, Bugando wanalia hakuna oxygeni, KCMC hawana maji ya dripu, dawa za kuoshea vidonda, mara goves zikipatikana mara hakuna dripu zikipatikana mara hakuna POP ZIKIPATIKANA MARA KUNA DAWA HAZIPO DUUUUUUUUUUUUU EE MTANZANIA TUTAPATAJE KUPONA??????
tunapata habari kumbe serikali haijapeleka OC KWA HIZI HOSPITALI ili zinunue hizi vifaa kwa ajili ya kutudumia wagonjwa lakini serikali in fedha za kulipa posho ya vikao kiasi cha 200000/- kwa wabunge
Kwa hiyo inabidi ili usaidike inabidi daktari anakuandikia ukanunue kwenye maduka ya dawa na vifaa vya tiba, je sisi watanzania wenye vipato nya chini tutafanyaje jamani mbona tutaisha na maradhi yetu
kuna haja ya kuamka na kujikomboa watanzania na kuiholdserikali responsible vinginevyo yenyewe ndo intufanya tuweresponsible kwao