Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,053
- 2,207
nani alaumiwe??Elimu haijawakomboa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani alaumiwe??Elimu haijawakomboa.
nani alaumiwe??
Kuna haja ya kuwapima akili wote walioshiriki huo ujinga. Pengine vyuo vyetu vinapokea wehu.
Kwenye picha ya kwanza, huyo mtu aliyekaa kwenye kiti ana matatizo ya afya au? Kama hana tatizo la afya kwa nini akae chini huku watu waliomzunguka wamesimama?
wewe imekukomboa?? kukombolewa na elimu ni kuogopa kudai haki yako. acha kukurupuka wewe.Elimu haijawakomboa.
acha kupotosha uma wewe fujo zilianza baada ya polisi kutumia nguvu kabla ya hapo hali ilikuwa shwari tu.wanachuo wa chuo cha elimu ya udaktari muhimbili waanzisha fujo kipindi wenzao wakifanya sherehe za kumaliza vurugu hizo zilipelekea kuitwa polisi jambo lililosaidia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa utulivu,katika hali isiyokua ya kawaida wanachuo hao walikua wakirusha mawe bila kujali uwepo wa wageni mbalimbali katika mahafari hayo kipindi hayo yakitokea mgeni rasmi alikua ajawasili.
Kwenye picha ya kwanza, huyo mtu aliyekaa kwenye kiti ana matatizo ya afya au? Kama hana tatizo la afya kwa nini akae chini huku watu waliomzunguka wamesimama?
wewe ndio inabidi uwe wa kwanza kupimwa manake iq yako inaweza kuwa sawa na ya kuku. Huwezi kukurupuka tu bila hata ya kujua chanzo nn na kuanza kudharau watu.kuna haja ya kuwapima akili wote walioshiriki huo ujinga. Pengine vyuo vyetu vinapokea wehu.
Kuna haja ya kuwapima akili wote walioshiriki huo ujinga. Pengine vyuo vyetu vinapokea wehu.