Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Juni 30, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Watu wengi tumekwama kupata Huduma ya kulipia dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) – Upanga tukiambiwa mfumo wa Namba za Malipo za Serikali (Control Numbers) haufanyi kazi, hiyo imetokana na kuwani siku ya mwisho ya Mwaka wa Fedha wa Serikali.”
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma MNH, Irene C. Mbonde amesema “Mtandao ulianza kuwa na shida kuanzia Saa 10 Jioni lakini huduma zilirejea Saa 12 Jioni, hivyo halikuwa tataizo la muda mrefu, tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.”
Andiko la Mdau ~ Tumekwama kununua dawa Muhimbili, Mfumo wa “Control Number” haufanyi kazi tangu asubuhi