Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Wakuu ni case study. Kwa wale ambao wanadhani jambo muhimu ni kwa chama cha Mapinduzi kiendelee kushika madaraka. Au chama fulani kishinde na kuwaondoa ccm madarakani. Munazingitia hays yaliyo kwenye ground?
Katika ufatiliaji wangu, kwa kipindi cha miaka 3. Ni Magufuli pekee ndie aliyeweka rekodi ya kutembelea Muhimbili na kutaka kujionea mwenyewe hali halisi na kuonyesha njia nini kifanyike.
Magufuli pamoja na udhaifu wake, alikuwa ni mtu na mnyenyekevu kwa wanyonge.
Samia hana muda na wagonjwa. Focus yake iko kwa washabiki wa mpira. Bahati mbaya hata wa upinzani hawana muda kujua iwapo mambo ni mazuri Muhimbili.
Fikireni sasa wagonjwa wenye magonjwa makubwa kama kansa, figo nk. Ukweli magonjwa haya tusiombee yatupate sisi jamii masikini. Hatuna haki kwa serikali ya CCM.
Kwa mfano kuna mgonjwa jirani yangu ana kansa. Alitibiwa awamu ya kwanza kwa misaada ya ndugu na majirani miezi 6 iliyopita. Akapewa muda na arudi Nov 19. Ktk kipindi hiki kauza vitu vyake ili apate bima ya afya.
Jana alipokwenda Muhimbili kaambiwa hatotibiwa kwa Bima kwa sababu aliacha deni ktk matibabu yake ya awali.
Unaweza jiuliza kwani kupitia bima wanatibiwa bure?
Kilichopo na kwa lugha nyepesi ni kuwa serikali imevamiwa na wahalifu sawa na wahalifu wenye silaha huku mitaani ambao unaweza kukutana na vichochoni wakakuuwa. Sera ya kuzuia mgonjwa aliye na bima usipate tiba Muhimbili hadi alipe cash si kitendo cha utu. Si utu anaojipamba nao mama Samia, ni ukatili na uuwaji.
Uongozi ni dhima. Na dhima inamaa kiongozi anakwenda kuulizwa na muumba wake kwanini aliona kulipia tiketi washabiki wa mpira ni muhimu kuliko kuwalipa wagonjwa wenye magonjwa dume wanaohitaji pesa ndogo ukilinganisha na pesa ya kuwafungulia mashabiki wa mpira.
Hii ni dhima kubwa kwa mtu alijipambanua ni muumini na mchamungu.
Mwisho niombe kwa kila mwenye nafasi aongee na mgonjwa. Atakaeweza kwenda kumuona yuko mbagala. Ni mgeni kutoka mkoani. Tumsaidie apate tiba. Namba yake ni 0654031259.
Tusiitegemee hii serikali wala mama Samia.
Na hakuna haja ya kumpigia kura.
Natamani watz wasuse kujitokeza kupiga kura kwa wagombea ambao hatukuwapendekeza sisi wanajamii. Tukaletewa tu na chama.
Hii nchi sijaona mwanasiasa kama mzee Magufuli.
Nchi ina laana inayotokana na kuongozwa na imani ya Ujamaa. Na wafuasi wa imani hii ndio hasa MAKAFIRI MAKAFIRI MAKAFIRI
Nimeumizwa, nina maumivu makubwa.
Mnisahe kwa niliowaumiza