Ndugu elewa.
Kuna njia mbili za kuchangia huduma za matibabu Muhimbili.
1. Cash
2. Bima.
Muhimbili hawahamuamuru mgonjwa alipe deni la nyuma.
Na mgonjwa hajataka kulipa deni la nyuma kwa kutumia bima.
Hoja ni kwamba mgonjwa pamoja na deni aliyonalo ana haki ya kupewa option yyt kuendelea na tiba.
Muhimbili ni hospitali ya Ummah. Lkn kwasasa zinaendeshwa kama provate.
Mgonjwa kutoka jamii masikini anawekewa vikwazo kama kwamba yuko private hospital.
Mgonjwa ana haki ya kuandaa na tiba kwa kuchangia kupitia bima, na sio kama sera ya sasa kuwa mgonjwa bora afe lkn kama hana cash hatopata tiba ktk hospitali inayoendeshwa kupitia kodi yake.
My poor country people try to understand your rights
Vaa mikoba ya mgonjwa.
Pesa ya kuwalipia watz masikini ipo lkn iko missuse.
Naamini Magufuli huko aliko anawalilia watz masikini.
Na anajutia maamuzi mengine makubwa aliyoyafa
Lipeni deni achani kumbwelambwela hapa,
ingekua hana haki angetibiwa kipindi chote alichotibiwa? ama matabibu wa hospitali ya Muhimbili wangekua hawafahamu hilo wangemtibu kweli for hatakama hamna shukran kwa hilio?
nivae viatu vya gonjwa gani, nimemuuguza baba yangu mzazi ocean road tangu 2008 ameaga dunia Dec 2019 akiwa anatibiwa kwa bima, na expenses kidogo nje ya bima tulishirikiana na ndugu jamaa na marafiki kuzikabili..
My father was very free,
As whole familie tupo kazini, akijiskia vibaya wala hatusumbui, anakwenda hospital mwenyewe baadae kabisa akiona hawa jamaa wameshatoka makazini, ndiyo ana tuarifu vijanaa wake, kwamba yupo amelazwa hospitali Fulani. Hiyo ni faida ya Bima ya afya.
Kwa huyo mgonjwa wenu, kwakua nyinyi ndugu, jamaa, na marafiki zake mpo hai na mna uwezo. There is no escape root or room hata mtie huruma namna gani gentleman .
Jikusanyeni, jichangeni muende mkacleare deni la nyuma la mgonjwa, na aweze kupata huduma. Otherwise mnamfedhehesha sana na kwakweli mnamkatisha tamaa sana.
Kumbuka,
Mifumo inasomana sasa hivi, huwezi kuposha wala kudanganya chochote gentleman.
Sijui uende hospitali ya Amana, temeke ama mwananyamala au wapi utakapoona inafaa, through system utaonekana tu. Na status ya ugonjwa na madeni yako itajulikana tu.
Hakuna haja ya kuja kuonyesha fahari kwenye msiba kwa kutoa rambirambi ya milion 10, wakati laki8 ulikua mbishi mlalamishi.
Hiyo ni useless na completely nonsense 🐒