nashauri wagonjwa kufika hospital , na siyo facebook
taarifa sahihi zinapatikana wapi sasa mkuuHaujui kwamba sio kila mgonjwa anataarifa sahihi za tatizo?
Kuna watu wana ndugu zao wataona hilo tangazo na kuwataarifu wagonjwa wakapate matibabu.
Lakini pia kwakuwa tangazo linahusisha taasisi ya serikali, ni vizuri wakalitolea ufafanuzi kuepusha utapeli na upotoshaji.
Nimr walitangaza kugundua dawa ya tezi fine,wakasema wanasimika mtambo,ilikua mwaka juzi nadhanitaarifa sahihi zinapatikana wapi sasa mkuu
Facebook ni karibu na hakuna foleni barabarani.nashauri wagonjwa kufika hospital , na siyo facebook
basi sawa mkuuFacebook ni karibu na hakuna foleni barabarani.