KERO Muhimbili: Wagonjwa wa figo waelezea Matatizo wanayokumbana nayo. Waomba Waziri Ummy awasaidie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mie nimepoteza mdg wangu kwa kushindwa kwenda na mahitaji ya gharama,ni miezi mitatu tu imepita toka afariki
 
Mie nimepoteza mdg wangu kwa kushindwa kwenda na mahitaji ya gharama,ni miezi mitatu tu imepita toka afariki
Pole sanaa ndugu ,kwa kweli tujifunze kutunza figo zetu wanandugu kwa kupunguza visababishi vya kimaisha na kimazingira vibaki tu vya kurithi
 
Figo nizakutuzwa sanaaa ,nilipopata mawe kwenye figo maumivu yake sio ya kitoto nilikuwa siwezi lala bila sindano ya kuzuia maumivu ni hatari mnoo na mda mwingine unakojoa mpaka damu
Dah,we acha tu,mby zaidi matibabu yako juu
 
Ccm mbere kwa mbere
 
Kama serikali kupitia wahisani wake inatoa ahueni kwa vidonge vya ARV na waathirika, kwa nini isifanye the same kwa wagonjwa wa figo ???
Yaani Mabeberu mnaotukana kila siku mnataka na Figo tena wawasaidie??? Si mnasema ni mashoga?
 
Yaani Mabeberu mnaotukana kila siku mnataka na Figo tena wawasaidie??? Si mnasema ni mashoga?
Kama vipi na hizo arv waache kutoa, hizo chanjo za bure waache kutoa. Akili itatukaa sawa...
 
Kama vipi na hizo arv waache kutoa, hizo chanjo za bure waache kutoa. Akili itatukaa sawa...
Tutakwisha Mkuu hawa watawala wanajifanya akina Mandonga miradi yoote ya Malaria, afya ya mama na mtoto, Ukimwi na Kutahiri wanaume inafadhiliwa na Wazungu.

Huko kwenye majeshi karibu yoote ya africa bajeti zake ni misaada ya wazungu hadi mafunzo.

Wakija kwetu wanajifanya kuwatukana eti Mabeberu ila wakiwa kwenye closed Doors wanawapa hadi madini kama kule Gabon na Ivory Coast
 
Figo nizakutuzwa sanaaa ,nilipopata mawe kwenye figo maumivu yake sio ya kitoto nilikuwa siwezi lala bila sindano ya kuzuia maumivu ni hatari mnoo na mda mwingine unakojoa mpaka damu
Apple cider vinegar unaweka kijiko kimoja kwenye glass ya maji ya vuguvugu, unakunywa asubuhi na jioni. Unaweza search YouTube kidney stones - DK Berg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…