KERO Muhimbili: Wagonjwa wa figo waelezea Matatizo wanayokumbana nayo. Waomba Waziri Ummy awasaidie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nimetokwa na machozi.
Mungu awaponye.
 
Mkiambiwa muache kumeza MADAWA YA AJABU AJABU HAMTAKI, atiii ooohhhh tunafuata utaalamu wa afyaa!

Baadaye buuum, mafigo yamefelii. Unaanza Kutoa ushuzi kama kuku.

Bado tena mnakunywa soda na machipsi ya ajabu ajabu. Hamtaki kula magimbi ati ni ushamba!

Ati ujanja ni kunywa cocacola na kufungiwa madripu ya kutibu figo!
 

Hongera sana mkuu!...itabidi uwe mwalimu na balozi kwa wengine...Mungu akupe moyo wakusaidia wengine wenye shida kama hiyo na wanateseka vitandani!...
 
Nasoma ili bandiko uku pembeni nipo na konyagi. Hatari sana aisee
 
Poleni sana Wapendwa wetu kwa hizo changamoto.
 
Apple cider vinegar unaweka kijiko kimoja kwenye glass ya maji ya vuguvugu, unakunywa asubuhi na jioni. Unaweza search YouTube kidney stones - DK Berg.
Hunywi tu mkuu.
Kuna muda, namna yake ya kunywa na kukaa mikao ya hayo mawe kitoka
 
Watu wengi hawanywi maji wanakunywa soda pombe na vinywaji vingine! Kunyweni maji kwa wingi hii tunaita water therapy kunyweni maji usingoje kusikia kiu maana kusikia kiu ni kwamba umeshaishiwa maji mwili tayari!
Dialysis sio nzuri haijawahi kuwa nzuri hata kidogo, ni mateso makubwa sana kukaa kwenye mashine hiyo ni basi tu kwa sababu ni tiba lakini inaumiza mnoo!! 😌😌😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…