MUHIMU:Ambao hamjaona/mliokwiaha ona selection.zenu TCU

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,585
Reaction score
1,771
Its Normal kukuta choice ya my admission imetolewa, hata mwaka wetu walifanya hivyo ila sisi walituwekea kwenye website mida ya usiku afu wakayatoa wakarudisha kesho yake mida ya saa sita. Ikumbuke kwamba TCU hawajatoa official statement so ni kama selection zili leak ndo maana hiyo choice(my admission) wameitoa. Hivyo baada ya official statement mambo yatarudi kawaida nadhani leo by saa 8 mtakua mshafahamu. na pia inaonekana wamefanya hivyo kupunguza conjesion nadhani wanataka kutoa moja kwa moja na mwenye website yao. kujaza kwenye website sio kazi maana ni codes tu zinahusika au kurudisha kwenye simu sio kazi so be patient. hongereni mliokwisha fahamu. Masomo mema na karibuni katika kuendeleza safari za maisha yenu. Ila kuweni makini maana nafasi mlizofikia kuna watu wanazitamani lakini hawajazipata. wasichana/wakaka wapo starehe zipo lakini one mistake utapoteza vyote. unaweza disko.ila msichana/mvulana wako akapeta baadaye akakutosa maana ataanza kukudharau so be careful tambua kilichokupeleka chuo.
Kwa wale mlio na mkopo au ambao hamna mkopo. Jitahidini ku budjet pesa zenu maswala ya kufika tu na kukimbilia sunbwoofer mara nguo kali kwa ajili ya chuo mara leo club, unageuka bingwa wq kuhonga, pombe na wewe wewe na pombe nakwambia utakula nyasi.. usidhanie wanaojinyonga huwa wamedhamilia. Kwa wale mtakaokuja dar. Shopping Mlimani city/Quality centre/ posta kama unajua kwenu hazipo kabinti/ka kaka kasikudanganye waachie wanaokaa Masaki/Mikocheni au Osterbay nk. Sisi zetu tufanyie Karume au Kariakoo na Mwenge.

Kuhusu utafutaji wa vyumba vya kupanga.muwe makini mjini hapa wajanja wajanja ni wengi unaweza pelekwa kwenye chumba hewa. nasikuhizi kuna bomoa bomoa inaweza kula.lwenu ilihali mmeshalipia. Jitahidini kupata sehemu.wanazoruhusu kujipikia ili kupunguza gharama za maisha.

Kupanga chumba peke yako aio mbaya ila kwa mwka wa kwanza bora ukakaa na mwenzako ili uzoee zoee maisha japo exile na detention.kama.mkiwa wawili zinaweza zikawa za kufikia.

Kwa wadada kuna mapedeshee huwa wantega na magari yao kwenye vyuo vyenu kama uaipo kua makini mtagraduate Na AIDs na wanasubiria mkiishiwa ndo.wanajitokeza so chonde chonde pangeni budget yenu vizuri kupunguza kudondoka katika vishawishi.

By the way kama unaquestion yoyote kuhusu college life usisite kuniulize have a blesses sunday
 
Asante mkuu,vp udom maisha yake hususan bei za vyakula?coz nimechaguliwa pale
 
wosia mzuri kabisa lakini tatizo la binadamu ni msaulifu sana. wengi wataenda opposite na uliyosema apo juu,kizazi cha sasa hakina ata chembe kidogo ya uvumilivu katika miangaiko ya maisha.
 
Nimekukubal mkuu dreason! Thanx
 
Last edited by a moderator:
jamani mdogo wangu yupo jkt ananisumbuaje!pls kama yapo tayari naomba muongozo wa cha kufanya.
 
Its Normal kukuta choice ya my admission imetolewa, hata mwaka wetu walifanya hivyo ila sisi walituwekea kwenye website mida ya usiku afu wakayatoa wakarudisha kesho yake mida ya saa sita. Ikumbuke kwamba TCU hawajatoa official statement so ni kama selection zili leak ndo maana hiyo choice(my admission) wameitoa. Hivyo baada ya official statement mambo yatarudi kawaida nadhani leo by saa 8 mtakua mshafahamu. na pia inaonekana wamefanya hivyo kupunguza conjesion nadhani wanataka kutoa moja kwa moja na mwenye website yao. kujaza kwenye website sio kazi maana ni codes tu zinahusika au kurudisha kwenye simu sio kazi so be patient. hongereni mliokwisha fahamu. Masomo mema na karibuni katika kuendeleza safari za maisha yenu. Ila kuweni makini maana nafasi mlizofikia kuna watu wanazitamani lakini hawajazipata. wasichana/wakaka wapo starehe zipo lakini one mistake utapoteza vyote. unaweza disko.ila msichana/mvulana wako akapeta baadaye akakutosa maana ataanza kukudharau so be careful tambua kilichokupeleka chuo.
Kwa wale mlio na mkopo au ambao hamna mkopo. Jitahidini ku budjet pesa zenu maswala ya kufika tu na kukimbilia sunbwoofer mara nguo kali kwa ajili ya chuo mara leo club, unageuka bingwa wq kuhonga, pombe na wewe wewe na pombe nakwambia utakula nyasi.. usidhanie wanaojinyonga huwa wamedhamilia. Kwa wale mtakaokuja dar. Shopping Mlimani city/Quality centre/ posta kama unajua kwenu hazipo kabinti/ka kaka kasikudanganye waachie wanaokaa Masaki/Mikocheni au Osterbay nk. Sisi zetu tufanyie Karume au Kariakoo na Mwenge.

Kuhusu utafutaji wa vyumba vya kupanga.muwe makini mjini hapa wajanja wajanja ni wengi unaweza pelekwa kwenye chumba hewa. nasikuhizi kuna bomoa bomoa inaweza kula.lwenu ilihali mmeshalipia. Jitahidini kupata sehemu.wanazoruhusu kujipikia ili kupunguza gharama za maisha.

Kupanga chumba peke yako aio mbaya ila kwa mwka wa kwanza bora ukakaa na mwenzako ili uzoee zoee maisha japo exile na detention.kama.mkiwa wawili zinaweza zikawa za kufikia.

Kwa wadada kuna mapedeshee huwa wantega na magari yao kwenye vyuo vyenu kama uaipo kua makini mtagraduate Na AIDs na wanasubiria mkiishiwa ndo.wanajitokeza so chonde chonde pangeni budget yenu vizuri kupunguza kudondoka katika vishawishi.

By the way kama unaquestion yoyote kuhusu college life usisite kuniulize have a blesses sunday

asante mkuu kwa maelezo yako,take thumb up.naomba uniambie kuhusu chuo cha computer cha st. Joseph cha Dar na mazingira yake yakoje kiusomaji?
 
hivi kwanin wameitoa ile program ya admission kwenye cm?nimeingia asubuhi wananiambia wait official annausement!hiyo inazingua sana mkuu,mpaka sasa sijui ndege inatua wap:wave:
 
DO!MIM MPAKA SASA NAUMWA KINOMA YAANNNNNNNNNNN,SIELEWI,JANA APPLICATION DOWN,LEO ASUBUHI NIMEINGIA IMEFUNGUKA,LAKINI PALE KWENYE KIPENGERE CHA ADMISSION WANANIAMBIA,YOUR APPLICATION IS SUCCESSFULL,PROCCESSED,WAIT OFFICIAL ANNAUSEMENT!ISSUE NYINGINE TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!CJUI SAA NGAP ITAKUWA FRESH?:wave:
 
vipi kwa walioappyl kupitia diploma process ni hiyohiyo naomba kujuzwa tafadhali
 
Jana walfanya hacking thats why leo hii airtel hawaonesh selection
 
Back
Top Bottom