MUHIMU:Ambao hamjaona/mliokwiaha ona selection.zenu TCU

Kaka thanx kwa ushaur kdogo ka hasira kamepungua nilitaka nianze kuwatukana tcu kwanini watoe post kumbe zilileak bwana
 
Jamani nkilog in tcu kwa chip ya airtel inaniambia cjafanya application.msaada ushauri
 
Tulia wewe,kama ulifanya application basi haina shida, nadhani server itakuwa imekaa vibaya.
 
Its Normal kukuta choice ya my admission imetolewa, hata mwaka wetu walifanya hivyo ila sisi walituwekea kwenye website mida ya usiku afu wakayatoa wakarudisha kesho yake mida ya saa sita. Ikumbuke kwamba TCU hawajatoa official statement so ni kama selection zili leak ndo maana hiyo choice(my admission) wameitoa. Hivyo baada ya official statement mambo yatarudi kawaida nadhani leo by saa 8 mtakua mshafahamu. na pia inaonekana wamefanya hivyo kupunguza conjesion nadhani wanataka kutoa moja kwa moja na mwenye website yao. kujaza kwenye website sio kazi maana ni codes tu zinahusika au kurudisha kwenye simu sio kazi so be patient. hongereni mliokwisha fahamu. Masomo mema na karibuni katika kuendeleza safari za maisha yenu. Ila kuweni makini maana nafasi mlizofikia kuna watu wanazitamani lakini hawajazipata. wasichana/wakaka wapo starehe zipo lakini one mistake utapoteza vyote. unaweza disko.ila msichana/mvulana wako akapeta baadaye akakutosa maana ataanza kukudharau so be careful tambua kilichokupeleka chuo.
Kwa wale mlio na mkopo au ambao hamna mkopo. Jitahidini ku budjet pesa zenu maswala ya kufika tu na kukimbilia sunbwoofer mara nguo kali kwa ajili ya chuo mara leo club, unageuka bingwa wq kuhonga, pombe na wewe wewe na pombe nakwambia utakula nyasi.. usidhanie wanaojinyonga huwa wamedhamilia. Kwa wale mtakaokuja dar. Shopping Mlimani city/Quality centre/ posta kama unajua kwenu hazipo kabinti/ka kaka kasikudanganye waachie wanaokaa Masaki/Mikocheni au Osterbay nk. Sisi zetu tufanyie Karume au Kariakoo na Mwenge.

Kuhusu utafutaji wa vyumba vya kupanga.muwe makini mjini hapa wajanja wajanja ni wengi unaweza pelekwa kwenye chumba hewa. nasikuhizi kuna bomoa bomoa inaweza kula.lwenu ilihali mmeshalipia. Jitahidini kupata sehemu.wanazoruhusu kujipikia ili kupunguza gharama za maisha.

Kupanga chumba peke yako aio mbaya ila kwa mwka wa kwanza bora ukakaa na mwenzako ili uzoee zoee maisha japo exile na detention.kama.mkiwa wawili zinaweza zikawa za kufikia.

Kwa wadada kuna mapedeshee huwa wantega na magari yao kwenye vyuo vyenu kama uaipo kua makini mtagraduate Na AIDs na wanasubiria mkiishiwa ndo.wanajitokeza so chonde chonde pangeni budget yenu vizuri kupunguza kudondoka katika vishawishi.

By the way kama unaquestion yoyote kuhusu college life usisite kuniulize have a blesses sunday
Thanx kaka kwa ushauri
 
nataka nikupe like lakin nashindwa coz natumia cmu so option ya like siion! By the way ushaur wako unanifaa sana hasa kwa mm wa ARDHI UNIVERSITY pale jins nilivyokaribu na MLIMAN CITY! Mungu nisaidie niweze kuji contlor kipindi chote cha masomo yangu(i mean 4 year) nipate kumaliza salama na kwa ufaulu mzuri! Aminaaaa
 
Jamani nkilog in tcu kwa chip ya airtel inaniambia cjafanya application.msaada ushauri

nenda cafe au kama una laptop ifungue TCU kwa kutumia browser kama chrome, mozilla au IE. Au kama ulikuwa hujawahi icheki akaunti yako tokea u apply mara ya kwanza hayo ni mapya tena
 
jaman mm username yangu ni email adrec lakn kwenye ku login naambiwa nimepewa mfano wa namb yangu ya mthan na mwaka nlomalza form 4
 
Sielewi elewi ati! Ngoja ntakuwa wa mwisho kujua wapi nimepelekwa.
 
leo naungana na Roma 'KIBONDE NI WEWE MEMBER WA LOAN BOARD NA TCU'
 
Kwa nin tcu kama wamemaliza kaz yao wasitoe majina?yaan kila siku mim nawaza tcu tuuuuu!jaman nitakufa!ndugu zangu wote wananiambia tangu nifanye mchakato wa kuomba chuo,nimepungua zaid ya asilimia hamsin,sasa kama wataendelea na hiyo hali,kuna atali sana katika afya yangu,mungu atusaidie!:wave:
 
Back
Top Bottom