Muhimu Kukumbuka History: Putin + Ukraine = Hitler + Czechoslovakia

Muhimu Kukumbuka History: Putin + Ukraine = Hitler + Czechoslovakia

Uko delusional na umekuwa head washed na propaganda za mmarekani.
Mmarekani baada ya kuona dola inaelekea pabaya akamuweka rais wake Ukraine, na kuvunja makubaliano ya miaka mingi kati ya jeshi la Nato na Urusi kwamba hawatakiwi kuexpand zaidi kuelekea west, kuanza vita inayo mnufaisha Mmarekani na propaganda zake , ukiangalia muuzaji silaa mkuu ndo huyo Mmarekani ambaye biashara yake kuu ni silaha na kama vita hakuna inamaana silaha haziuziki ndomaana hawezi kuishi bila vita.

Ukrain ameitamani miaka mingi siyo tu kuuza silaha bali kwa resource hiyo nchi ndogo iliyonazo.Ukrain nikama Congo ya europe kwa madini adimu, chakula etc.

Hii vita nikati ya East na West kutetea propaganda zao na maslhi yao.
ukrain kama Ukrain siyo safi kama East wanavyoionyesha kwenye media ili kuionea huruma, inamengi sana mabaya inayotenda na aina ya viongozi wake ni mafisadi balaa lakini yote yamefukiwa ili nia ya Marekani na wafuasi wake itimie.
Jeshi la Ukrain limeisha vita i wanao pigana ni wanajeshi wa Nato na kila siku wanatumiwa silaha ili tu vita isiishe....Nchi imeharibika vibaya kwasababu tu ya mtu aliye na tamaa na kusahau watu wa karibu wanao teseka, kwenye hii vita mwananchi wa kawaida hana aatakacho kigain zaidi ya kupoteza kila alichonacho ....

Sioni yeyote katika nchi za kiarabu akimuunga mkono mmarekani, zaidi watakuwa katikati tu.
Waarabu na Mrusi wapo katika upande mmoja kwenye vita ya mafuta ambayo kwasababu mmarekani hana ya kumtosha analazimisha watu wahamie kwenye matumizi ya umeme ilikupunguza demand ya mafuta duniani na kuua uchumi wa nchi zinazo zalisha mafuta.

Juzi ameingia kwenye matatizo na marafiki zake wa ulaya wakimtuhimu kutumia vita kujinufaisha na wametaka makampuni yake yanayo pata supernormal profit kwasababu ya vita kama makampuni ya silaha na nishati sasa yatozwe kodi kubwa ya vita lakini yameweka pingamizi.
Ameingia kwenye matatizo na wenzake kwa kupitisha mswada wa kuweka mazingira mazuri kwenye makampuni yanayo research na kutengeneza bidhaa kama magari ya umeme kwake.
Huku akiwasahau wenzake na kutokujali ni jinsi gani watauwa biashara zao Ulaya kwasababu hawataweza kuwa competitive kwenye soko baada ya kuzalisha, kwasababu ya uhaba wao wa malighafi baada ya kukatazwa kuchukua malighafi na huduma kutoka Urusi na China vyenye bei nafuu na hali ya uchumi wa Ulaya kwa sasa imezidi kufanya mambo yawe magumu.
Jamaa Anataka kurudi kuwa mzalishaji mkuu, kitu ambacho kwa sasa amepoteza.
Ameprint pesa nyingi kipindi cha hivi karibuni bila kuwa na uwezo wa kutosha hivyo kuongeza infaltion(mfumuko wa bei) ambao haujawahi kutokea muda mrefu sana nchini kwake, uchumi wake unamilikiwa na watu wachache Benki kuu yake ni yawatu binafsi, Ajira zimekuwa chini sana na watu kutolewa makazini. Wako mbioni kuhamia kwenye sarafu ya electronic kwasababu hali yao siyo nzuri kabisa, uaminifu katika dola umeshuka sana kuliko kipindi kingine kwenye historia yake.
West wamenunua dhahabu nyingi sana ili kuzipa nguvu sarafu zao ili kuacha utegemezi juu ya Dola ya Marekani.

West wakombioni kuanzisha makampuni makubwa ya insurance za meli ili kuondokana na utegemezi wa insurance za meli za europe ambapo imewezesha Mmarekani kutumia chanagmoto hiyo kuzuia uchukuaji wa mafuta ghafi kutoka Urusi kwa bei ya soko kwasababu meli zinaogopa kukataliwa kufungiwa na kutokupewa insurance za meli zao ambazo meli nyingi za mafuta ulimwenguni ni za wagiriki marafiki wa Marekani.

Rohigya, Yemen mbona wako kimya Why Ukrain only, hao wengine hawatakiwi kusaidiwa?

Nchi zilizo haribiwa au kuingiliwa na Marekani kwa jina la kusaidia kumbe wana agenda zao za siri :
China 1945-46

Korea 1950-53

China 1950-53

Guatemala 1954

Indonesia 1958

Cuba 1959-60

Guatemala 1960

Belgian Congo 1964

Guatemala 1964

Dominican Republic 1965-66

Peru 1965

Laos 1964-73

Vietnam 1961-73

Cambodia 1969-70

Guatemala 1967-69

Lebanon 1982-84

Grenada 1983-84

Libya 1986

El Salvador 1981-92

Nicaragua 1981-90

Iran 1987-88

Libya 1989

Panama 1989-90

Iraq 1991

Kuwait 1991

Somalia 1992-94

Bosnia 1995

Iran 1998

Sudan 1998

Afghanistan 1998

Yugoslavia – Serbia 1999

Afghanistan 2001

Libya 2011

Syria 2014

Katika kipindi chote hicho Urusi au China imejiingiza kwenye vita ipi??
Katika kipindi chote hicha Urusi au China imeharibu nchi ngapi kwa jina la demokrasia ambayo yenyewe imeishindwa?

Kwanini vita ya Ukrain iwe ya tofauti zaidi na hizo nyingine alizo pigana kulinda maslahi yake na kujinufaisha huku akijisifu kusaidia wengine.

Swali lakujiuliza anashindwaje kufadhili vita hata kwenye nchi zetu za kiafrica kwa maslai yake au kulinda maslai ya watu wake wa karibu??
Je hao wanasiasa wanao jikombakomba kwake anashindwaje kuwatumia kama alivyofanya kwa nchi nyingine za Africa?

Swali la mwisho: Je kwa mfano kama Tanzania ingekuwa na adui mkuu na Zanzibar watake kujiunga nao hao maadui... Tanzania kutetea maslahi yake (kama umoja, uhuru, usalama, katiba mila na desturi) itakuwa imetenda dhambi??

Tuwe makini.
Huyu _____ ni muongo na mnafiki.
Umetisha iko super super
 
Sijui ni kwanini neno"propaganda na kibaraka ni common sana kwa imbecile people". Imejen hapo mtaani kwako kuna watu wanakukubali kwenye vijiwe vya kahawa kwa uchambuzi uchwala kama huu.
Useless kabisa
Wewe ndo unaonekana "useless shit" kabisa.. yeye ametetea hoja kwa mifano halisi. Wewe umekuja na matusi tu hapa. Idiot 🚮
 
Sijui ni kwanini neno"propaganda na kibaraka ni common sana kwa imbecile people". Imejen hapo mtaani kwako kuna watu wanakukubali kwenye vijiwe vya kahawa kwa uchambuzi uchwala kama huu.
Useless kabisa
Wewe ndo unaonekana "useless shit" kabisa.. yeye ametetea hoja kwa mifano halisi. Wewe umekuja na matusi tu hapa. Idiot 🚮
 
Kulikua na ulazima wa kiasi hicho wa Ukrein kung'ang'ania kujiunga NATO?. Je Ukrein amepoteza au amenufaika na tamaa yake ya kujiunga NATO?. Kwa nini NATO wasiingie mazima Ukrein kumsaidia Kwa sababu anaonewa?. Hofu ya NATO kuivamia urusi ni nini?.
Haya maswali yako yooote NATO walishawahi kuyajibu toka mwaka jana mwezi march vita ikiwa ni mbichi kabisa.
 
Putin uwa ana update madai yake so hayo ili uliloliandika limeshapotea kichwani mwake, sasa analingine.
Alianza na Ukrein inataka kujiunga Nato alivyoona wenye akili wamekataa kukubaliana na dai ilo akaja na dai la kuwepo kwa NAZI Ukraine nalo dai ilo likapwaya.
Akaja na dai kuwa"ukrein inaongozwaa na wauza Madawa ya kule ye, wenye akili wakampuuza. Kama shida ni wauza Madawa ya kulewa ya why asiende Colombia ama Mexco kuwashikisha adabu.
Alivyoona wenye akili wamempuuza akakimbili kudai kuwa amekwenda Ukraine kuwatete wakazi wenye asili ya Urusi.
So, usiamini chochote kinachotoka mdomoni mwa huyo mzee mpumbavu.
Ana bahati nchi yake haina mahakama huru na bunge huru.
Moja ya makosa mabaya ambayo aliturithisha Hayati ni kufungamana na mifumo ya mashariki. Alipaswa kuchambua mema yao na mabaya yao kuyaweka pembeni.

Ni kweli kabisa, wakati vita inaanza Putin alitangaza ishu ya Ukraine kujiunga NATO. Baadae akabadili gia na kusema kuna NAZI humo ndani, mwisho tunakuja kuona anasema kuna warusi wengi kwenye hiyo mikoa aliyoimeza.

NATO walimjibu sawia Putin, amepigishwa hesabu vibaya za hii vita, ninaamini wote waliomshawishi kuingia ukraine atakuwa ameshawapiga kitanzi. Pengine Putin alikubali kuingia Ukraine sababu alijua miaka ijayo Ukraine ingeitaka kuirudisha Crimea kimtutu, akaona vyema aivamie wakati huu kabla Ukraine haijaiva vyema kijeshi.

Umejibu vyema kabisa, umeonesha upo detailed toka vita vilipoanza.
 
Hakujawahi kuwa na vita ya dunia kamwe. Kumewahi kuwa na vita ya Ulaya na Asia tu. Afrika na Amerika Kusini hatujapigana hizo vita.

Au Afrika siyo sehemu ya dunia? Au nchi gani Africa ilipiganwa hiyo vita?
Aiseee hii ni aibu kwa JF, mods wafute hii comment, ni aibu kwetu sote.
 
Umetoa mifano ambayo unaonesha kabisa Upo mlengo fulani,hiyo USA kuna Nchi za upande wa kusini karibu 23 zilikuwa hazitaki kuungana kwenye umoja ya USA zilivamiwa mbona haikuwa vita ya Dunia??
Acha mahaba na USA
 
Wewe ndo unaonekana "useless shit" kabisa.. yeye ametetea hoja kwa mifano halisi. Wewe umekuja na matusi tu hapa. Idiot 🚮

Hata hoja uzijui ndiyo maana unadhani alichokiandika huyu jamaa ni hoja.
Jamaa kaleta madai sio hoja. Moja dai lake la kipuuzi na Kuufunua upumbavu wake ni kudai kuwa "marekani ka-print hela mingi hali ambayo imesabibisha inflation? ". Anaishi ulimwengu gani hata asijue kuwa vikwazo vya magharibi dhidi ya urusi ndiyo chanzo cha inflation? .
Anazijua athari za kuprint pesa bila mpangilio?.
 
Hata hoja uzijui ndiyo maana unadhani alichokiandika huyu jamaa ni hoja.
Jamaa kaleta madai sio hoja. Moja dai lake la kipuuzi na Kuufunua upumbavu wake ni kudai kuwa "marekani ka-print hela mingi hali ambayo imesabibisha inflation? ". Anaishi ulimwengu gani hata asijue kuwa vikwazo vya magharibi dhidi ya urusi ndiyo chanzo cha inflation? .
Anazijua athari za kuprint pesa bila mpangilio?.
Sasa hivi wamarekani wako wametemwa na Saudi Arabia..na wamekataa mtumo wa Petrodollar. Wanataka kutumia sarafu ya China. Muda so mrefu mtashikishwa ukuta
 
Back
Top Bottom