Muhimu Kukumbuka History: Putin + Ukraine = Hitler + Czechoslovakia

Umetisha iko super super
 
Sijui ni kwanini neno"propaganda na kibaraka ni common sana kwa imbecile people". Imejen hapo mtaani kwako kuna watu wanakukubali kwenye vijiwe vya kahawa kwa uchambuzi uchwala kama huu.
Useless kabisa
Wewe ndo unaonekana "useless shit" kabisa.. yeye ametetea hoja kwa mifano halisi. Wewe umekuja na matusi tu hapa. Idiot 🚮
 
Sijui ni kwanini neno"propaganda na kibaraka ni common sana kwa imbecile people". Imejen hapo mtaani kwako kuna watu wanakukubali kwenye vijiwe vya kahawa kwa uchambuzi uchwala kama huu.
Useless kabisa
Wewe ndo unaonekana "useless shit" kabisa.. yeye ametetea hoja kwa mifano halisi. Wewe umekuja na matusi tu hapa. Idiot 🚮
 
Kulikua na ulazima wa kiasi hicho wa Ukrein kung'ang'ania kujiunga NATO?. Je Ukrein amepoteza au amenufaika na tamaa yake ya kujiunga NATO?. Kwa nini NATO wasiingie mazima Ukrein kumsaidia Kwa sababu anaonewa?. Hofu ya NATO kuivamia urusi ni nini?.
Haya maswali yako yooote NATO walishawahi kuyajibu toka mwaka jana mwezi march vita ikiwa ni mbichi kabisa.
 
Moja ya makosa mabaya ambayo aliturithisha Hayati ni kufungamana na mifumo ya mashariki. Alipaswa kuchambua mema yao na mabaya yao kuyaweka pembeni.

Ni kweli kabisa, wakati vita inaanza Putin alitangaza ishu ya Ukraine kujiunga NATO. Baadae akabadili gia na kusema kuna NAZI humo ndani, mwisho tunakuja kuona anasema kuna warusi wengi kwenye hiyo mikoa aliyoimeza.

NATO walimjibu sawia Putin, amepigishwa hesabu vibaya za hii vita, ninaamini wote waliomshawishi kuingia ukraine atakuwa ameshawapiga kitanzi. Pengine Putin alikubali kuingia Ukraine sababu alijua miaka ijayo Ukraine ingeitaka kuirudisha Crimea kimtutu, akaona vyema aivamie wakati huu kabla Ukraine haijaiva vyema kijeshi.

Umejibu vyema kabisa, umeonesha upo detailed toka vita vilipoanza.
 
Hakujawahi kuwa na vita ya dunia kamwe. Kumewahi kuwa na vita ya Ulaya na Asia tu. Afrika na Amerika Kusini hatujapigana hizo vita.

Au Afrika siyo sehemu ya dunia? Au nchi gani Africa ilipiganwa hiyo vita?
Aiseee hii ni aibu kwa JF, mods wafute hii comment, ni aibu kwetu sote.
 
Umetoa mifano ambayo unaonesha kabisa Upo mlengo fulani,hiyo USA kuna Nchi za upande wa kusini karibu 23 zilikuwa hazitaki kuungana kwenye umoja ya USA zilivamiwa mbona haikuwa vita ya Dunia??
Acha mahaba na USA
 
Wewe ndo unaonekana "useless shit" kabisa.. yeye ametetea hoja kwa mifano halisi. Wewe umekuja na matusi tu hapa. Idiot 🚮

Hata hoja uzijui ndiyo maana unadhani alichokiandika huyu jamaa ni hoja.
Jamaa kaleta madai sio hoja. Moja dai lake la kipuuzi na Kuufunua upumbavu wake ni kudai kuwa "marekani ka-print hela mingi hali ambayo imesabibisha inflation? ". Anaishi ulimwengu gani hata asijue kuwa vikwazo vya magharibi dhidi ya urusi ndiyo chanzo cha inflation? .
Anazijua athari za kuprint pesa bila mpangilio?.
 
Sasa hivi wamarekani wako wametemwa na Saudi Arabia..na wamekataa mtumo wa Petrodollar. Wanataka kutumia sarafu ya China. Muda so mrefu mtashikishwa ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…