Muhimu Kukumbuka History: Putin + Ukraine = Hitler + Czechoslovakia

Unawatetea sana weupe mbona umesahau uvamizi wa libya?nenda libya uone mateso wanayopata,hayo hujayaona,nenda Congo,Afganistan na hata Palestine,wewe umewaona Ukrane tu enh??acheni upendeleo
 
Unawatetea sana weupe mbona umesahau uvamizi wa libya?nenda libya uone mateso wanayopata,hayo hujayaona,nenda Congo,Afganistan na hata Palestine,wewe umewaona Ukrane tu enh??acheni upendeleo
Umesoma kweli kabla ya kucomment??
 
Sasa hivi wamarekani wako wametemwa na Saudi Arabia..na wamekataa mtumo wa Petrodollar. Wanataka kutumia sarafu ya China. Muda so mrefu mtashikishwa ukuta
Sawa,acha iwe hivyo. Turudi kule nilichokuuliza" na wewe unakubali kuwa inflation iliyopo ni duniani kote ni kwasababu Marekani kaplint madolali mengi na sio vikwazo vya west dhidi ya Urusi? ".
 
Aiseee hii ni aibu kwa JF, mods wafute hii comment, ni aibu kwetu sote.
Kombe la linaanzia hatua za mchujo mpaka zinabakia 'last 32' ambazo ndio huenda kwenye fainali ya kombe la dunia.
Tanzania na Kenya na nchi nyinginezo hushiriki ila hutolewa mapema.
Hebu TUKUMBUSHE ni wapi nchi zilikaa kikao cha kuanzi VITA YA DUNIA ili tujiridhishe kwamba kweli posti ya huyu bwana inastahili kufutwa.
 
Sawa,acha iwe hivyo. Turudi kule nilichokuuliza" na wewe unakubali kuwa inflation iliyopo ni duniani kote ni kwasababu Marekani kaplint madolali mengi na sio vikwazo vya west dhidi ya Urusi? ".
Kwanini umuwekee mtu vikwazo halaf inflation upate wewe?
 
Mzee Putin amekuwa na tabia ya kujitanua kweli kweli....ngoja tuone kama hivi Vita vitahitimisha hilo.
 

Dunaini kuna watu wa aina nyingi na lazima tuish nao wote kama dunia moja. Kuna mtu ukimwambia kuwa glasi hiyo ina maji ya betri usiyanywe atakujibu kuwa mbona wewe unakunywa pombe na sijakuuzuia!! Tuelewane kuwa logic zinazotumiwa na vichwa vyetu zinatofuatiana. Ndiyo maana vitu vizuri vyote tunavyotumia duniani leo vimegunduliwa kutoka nchi hizo hizo za "mabeberu" ila wengine kama Huawei tunaiga na kukopi tu
 
Kwahiyo halijawahi kuwepo kombe la dunia kisa Tanzania na Kenya hazijawahi shiriki?
Tanzania tumeshiriki na kenya wameshiriki pia isipokuwa tulitolewa kwenye kufuzu,, ila hakuna vita kuu ya kwanza ya dunia wala ya pili,, tumelishwa matango pori
 
Duh...Hembu jaribu kujifunza au kusoma historia ya nchi yako Tanzania,Africa na dunia.

Ulishawahi kusikia :
Urusi, China au nchi za mashariki zina koloni?, Zinajihusisha na utumwa kama zilivyo nchi za magharibi?

Historia ipo kutuonyesha ya nyuma ili tujiandae na yajayo, kujua marafiki, maadui na kuchagua upande kulingana na tunao waona wanafaa kwa ustawi chanya wajamii yetu.
Kulinda maadili, mila na desturi zetu zinazo tutambulisha kama waAfrica na waTanzania.
 
Sijui ni kwanini neno"propaganda na kibaraka ni common sana kwa imbecile people". Imejen hapo mtaani kwako kuna watu wanakukubali kwenye vijiwe vya kahawa kwa uchambuzi uchwala kama huu.
Useless kabisa
Mbona unafanya personal attack? Nadhani ingekuwa vyema unge criticise hoja za bwana mrengo wa kushoto bila kumshambulia yeye binafsi
 
Mvaa makobazi
 
Taifa ovu zaidi duniani🤔
 
Putin gonga hao watu mpaka waseme yote.
Usisite kuwagonga na kuwagonga zaidi.
 
Historia ya Hitler na Czechoslovakia ni miongoni mwa sababu zinazopelekea mataifa ya magharibi kutounga mkono mazungumzo ya amani (at the expense of Ukraine) kama yale yaliyofanywa na kina Neville Chamberlain kuihusu Czechoslovakia kabla ya WW2.
 
Ndugu,

Wakati naanza kusoma maoni yako, nimeona niishie hapo kwenye hiyo aya (paragraph) ya kwanza, maana kuna maswali mengi umeyazalisha hapo kwenye aya hiyo.

Sioni kama ni vyema kuendelea kusoma zaidi ulichoandika kama hapo mwanzoni tu kuna shida kubwa!

Mimi nina maswali kadhaa kutokana na kile ulichosema katika aya hiyo.

Umeanza kwa kusema, "Marekani ilimuweka rais wake Ukraine". Huyo rais aliwekwaje? Mipango ilifanyikaje? Lini? Wapi? Na, ni kina nani hasa walioratibu mipango mahususi pamoja na vikao vya utekelezaji wa mipango hiyo?

Jambo la pili:
Naomba unipatie nakala ya mkataba ama angalau tarehe na mahali yalipofanyikia makubaliano rasmi (treaty) kati ya NATO na Urusi kwamba NATO haitotakiwa ku-expand kuelekea "west" (nafikiri ulitaka kusema "east").

Nitashukuru sana kwa majibu sahihi ya masuala hayo mawili!
 
Hakujawahi kuwa na vita ya dunia kamwe. Kumewahi kuwa na vita ya Ulaya na Asia tu. Afrika na Amerika Kusini hatujapigana hizo vita.

Au Afrika siyo sehemu ya dunia? Au nchi gani Africa ilipiganwa hiyo vita?
Hoja sio eneo ambalo vita inapiganwa. Muhimu zaidi ni ushiriki ama uhusika wa watu na jamii mbalimbali duniani katika hizo vita mbili.

Unataka kusema kuwa Afrika na Amerika Kusini ama jamii za Waafrika na Waamerika Kusini hazikuhusika kwenye mapigano katika hizo vita mbili?

Kamsome jamaa mmoja maarufu sana enzi hizo, Erwin Rommel, aka "The Desert Fox", pengine utafahamu uhusika wa Afrika ikiwemo ardhi na jamii za Waafrika katika Vita Kuu ya Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…