Muhimu: Kusoma Advance nchini Uganda

Muhimu: Kusoma Advance nchini Uganda

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habar wakuu! Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu elimu ya nchin Uganda, Je ninaweza kwenda kusoma Advance Comb ya sayansi mfano CBG? Pia vipi baada ya kumaliza 4m6 itawezekana kuja kusomea vyuo vya hapa nchini,?

Matokeo yangu ya olevel ni div 3-24 yani Bios-B, Chem-B, phy-D, hist D, Civ-D, Engl-D, kisw
-D, Geo-D, Math-D

Ahsanten kwa msaada wenu kwani NECTA wamenipiga na kitu chenye ncha kali hivyo msaada wa mawazo wenu ni muhimu sana kwangu na Mungu awabariki.
 
Pole dogo kwangu mimi binafsi sikushauri uwende uganda ila komaa na vyuo vya afya maana tokeo lako zuri au jiunge na form 5 huku ukirist masomo yote ambayo una D u gonna make it.
 
kwa results za mwaka huu,kwa hizo pass marks umefaulu sana,hata shule ya vipaji unaweza kwenda.
 
Pole sana....umefaulu vizuri sana Chemistry na Biology ila umeshindwa kupata C moja ili uwe na kigezo cha kujiunga na A level...unaweza kwenda chuo cha utabibu (diploma ya udaktari) kama ulivyoshauriwa hapo juu...BONYEZA HAPA uone wizara imeanza kupokea maombi....Ila mimi naona hii njia ni ndefu sana maana miaka mitatu ya diploma then uende kufanya kazi miaka isiyopungua miwili then ujiunge na advanced diploma then ufanye kazi ndio ujinge na medical school..

Nakushauri u-reset masomo mawili "PHYSICS NA GEOGRAPHY" komaa na physics ili uwe na PCB then nenda A level...then medical school...ila uamuzi ni wako
 
kwa matokeo yako dogo ushaenda a-level tena unapangiwa PCB just wait n see
 
Back
Top Bottom