Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Kumekuwa na harakati nyingi ya wahitim wa idato cha sita kuomba enrollment vyuoni na wakati huohuo kuomba mkopo kupitia loan board.
Nawashauri mwombaji kabla hajaomba chuo chochote asome na kupitia kwa umakini miongozo miwili ya maombi amabyo muongozo wa kwanza unaolewa na tcu na mwingine hutolewa na loarn board.
Nasema ni muhimu kusoma hiyo miongozo kwa sababu ndio inayowezesha muombaji kuomba kozi na akaipata kwa sababu vigezo vyote kama vile pass zinazotakiwa na kozi zinazopewa kipaumbele kupata mkopo na idadi ya watu wanaopata mkopo kwa kila kozi imeainishwa humo.
Ukiomba kozi ambayo sio kipaumbele kupatiwa mkopo, ndugu yangu sahau kupata mkopo! Na kosa hili limekuwa likifanywa na wengi na kujikuta mwisho wa siku hawana admission au loan au wanakosa vyote japo wanaweza kuwa na maksi nzuri tu darasani.