Muhimu kwa fomu six mnaotafuta cyuo na mkopo wa loarn board

Muhimu kwa fomu six mnaotafuta cyuo na mkopo wa loarn board

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Kumekuwa na harakati nyingi ya wahitim wa idato cha sita kuomba enrollment vyuoni na wakati huohuo kuomba mkopo kupitia loan board.

Nawashauri mwombaji kabla hajaomba chuo chochote asome na kupitia kwa umakini miongozo miwili ya maombi amabyo muongozo wa kwanza unaolewa na tcu na mwingine hutolewa na loarn board.

Nasema ni muhimu kusoma hiyo miongozo kwa sababu ndio inayowezesha muombaji kuomba kozi na akaipata kwa sababu vigezo vyote kama vile pass zinazotakiwa na kozi zinazopewa kipaumbele kupata mkopo na idadi ya watu wanaopata mkopo kwa kila kozi imeainishwa humo.

Ukiomba kozi ambayo sio kipaumbele kupatiwa mkopo, ndugu yangu sahau kupata mkopo! Na kosa hili limekuwa likifanywa na wengi na kujikuta mwisho wa siku hawana admission au loan au wanakosa vyote japo wanaweza kuwa na maksi nzuri tu darasani.
 
Umetumwa na TCU au HESLB?

Acha ubinafsi, kumsaidia mtu sio lazima uwe umetumwa. Kuna watu wanahitaji taarifa na anapotokea mtu akaleta taarifa ambayo ni ya msaada kwa wengine ni vema tukampongeza badala ya kutoa statement za kipuuzi kama hizi. Taarifa hii inaweza isiwe muhimu kwako lakini ikawa muhimu sana kwa mtu mwingine.
Pia km huna la kuchangia si vibaya kukaa kimya.
 
Ina maana siku hizi kuuliza ni ujinga!
 
Back
Top Bottom