Muhimu kwa mustakabali wa afya yako

Muhimu kwa mustakabali wa afya yako

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO SOMA.. USIPUUZE.!!

Azam Company ni kampuni inayorisha watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara..

Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi jirani zinazituzunguka, kupitia huduma mbali mbali anazotoa kuanzia usafiri wa majini, vyakula hata vinywaji..

Sitasita kumpongeza mzee wetu kwa huduma zako na mungu atakulipa kwa hili..

Kilichonifanya nikujadili hapa mzee ni hiki kinywaji chako kipya, watanzania wamekipokea na wanakitumia sana, kifupi kinauzika huu ndio ukweli..
Na mimi kama miongoni mwa wateja wake nikajaribu kukionja kutaka kujua kina Ladha gani kinywaji hiki??!!
Kinywaji hiki kinaitwa #ENERGY_DRINK
Baada ya kufungua na kuonja kwa mara ya kwanza kilinishinda, nikajikuta navutiwa kusoma kimeungwa kwa kutumia viungio gani {Ingredients}, hiki nilichokiona ndicho Kilichonifanya niandike haya.
Malengo sio kuharibu biashara yako, La.!! Ila ni kuwajuza watanzania ambao wengi wetu lugha iliyotumika hapa ni changamoto kuijua, Lakini pia wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusoma hivi vibandiko kabla ya kutumia..
NINI NILICHOKIONA NA KIKANISHITUA?? HIKI HAPA..!!

{1} INGREDIENTS (Viungio)
Water sugar, Carbondioxide, Citric acid (E330), Taurine, Acidity Regulator, Sodiumcitrate E331, Colour plain, Caramel E150a, [HASHTAG]#CAFFEIN[/HASHTAG], Inositol, Preservative pottasium sorbate E202, Flavouring, Niacin, Pantothenic Acid, Vitamin B6 & Vitamin B12.....

Baada ya kuandikwa hivi viungia, Ukiangalia katika chupa hii kilichofuatiwa ni muda wa matumizi, na mahali kinapozalishwa. Lakini bado sikupata mantiki kwanini kimekuwa kikali mno kwanini??!!!!
GHAFLA katika kudadisi zaidi ndipo chini ya maandishi hayo nikakuta maandishi mengine mapya tena yemewekwa juu ya wino [HASHTAG]#MWEKUNDU[/HASHTAG] kuashiria TAHADHALI maandishi haya yameandikwa katika lugha ya KIINGEREZA Yanasomeka hivi...

High caffein content {31.5mg/m100}, Taurine {0.03%}.. Do not drink more than two bottles per day, Not suitable for persons sensitive to caffein, Children, Pregnant, Breast feeding women, and Avoiding Drinking before Sleeping...

TAFSIRI YA MANENO HAYA KWA TUSIOJUA..!!
Ina kiasi kikubwa cha Caffeine, Usinywe zaidi ya chupa mbili kwa siku, Haifai kwa watu wenye matatizo ya CAFFEINE, Haifai kwa watoto, wajawazito, wana mama wanaonyonyesha, na mwisho usitumie kinywaji hiki muda mfupi kabla hujaenda kulala..
[HASHTAG]#Kwanini[/HASHTAG] Usinywe muda mfupi kabla hujaenda kulala..??!! Kiwango cha 31.5mg/ml100 za caffeine ni nyingi kwa matumizi ya kawaida kuna hatar ya #Blood_Pressure ukiwa usingizini na hatimae ukapoteza maisha hivyo ni hatari kunywa wakati unakwenda kulala, Ina athiri ubongo pia kwa watoto na hata watu wazima, kwa wajawazito, na kwa wanaonyonyesha,...

SASA MZEE WANGU BAKHRESSA ni watanzania wangapi kinywaji hiki pasipo kujua?? Kuna wajawazito, watoto, wazee, wote wanakibugia tu hawajui kinachoendelea katika kinywaji hiki mzee..
Hakuna kinywaji ambacho ni CARBINATED kisichokuwa na CAFFEINE, hii inajulikana lakini mzee HIKI KIWANGO CHA {31.5mg/100ml} ULICHOWEKA HUMU NI KIKUBWA MNO.. Sina hakika lakinini inawezekana kikapita hata kiwango cha Kwenye [HASHTAG]#HEINKEN[/HASHTAG]..

#CAFFEIN_DRINKS kuna baadhi ya nchi kama UFARANSA, MAREKANI, na HISPANIA na UINGEREZA wamepiga marufuku kutokana na athari zake hasa katika ubongo,..
Hakuna shaka mzee baada ya muda mfupi wa matumizi ya kinywaji hiki WATANZANIA WENGI hasa kina mama na watoto na hata wanaume watapata matatizo haya..

€Mfumo wa ubongo kuathirika hili halina shaka,
€Vidonda vya tumbo.
€Kwa wanamama wajawazito wanaobugia pia kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye matatizo hasa AKILI kutokana na UBONGO KUATHIRIWA, wanaonyonyesha pia..

Mzee kama ujumbe huu utakufikia naomba TUONDOLEE JANGA HILI maana haya matatizo tuliyonayo yanatushinda Watanzania wengi WATAUMIA SIKU ZIJAZO na hazipo mbali..
Ninawapenda sana rafiki zangu ndio maana nimewaletea somo hili kwa manufaa ya AFYA zenu na za wale mnaowapenda..
Sambaza kwa KU-share ujumbe huu mpaka umfikie muhusika..

NB:

Samahani Kwa Kampun ya Azam Lengo Langu Sio Baya Bt Ningependa watu wapete Darasa kidogo kuhusu hii bidhaaa
 
We unafkiri wa bongo watakuelewa???

Kwao kila kitu siasa ccm na chadema
pia kuna mo energy inauzika mbaya tena imeandikwa usichanganye na pombe!!!!? ila wengi wanachanganya, pia dragon INA kiwango Mara 2 ya redbul na inanyweka sana
 
Hatari sana,ukizingatia watanzania walio wengi hawana utaratibu wa kusoma kabla ya kutumia.
 
We unafkiri wa bongo watakuelewa???

Kwao kila kitu siasa ccm na chadema
Ni ngumu sana kuelewa,mana mtu ananyonyesha,unamwambia haitakiwi kwa anaenyonyesha anakujibu kunywa mara kwa mara ndo tatizo ila mara moja moja sio mbaya.
 
Hatari sana,ukizingatia watanzania walio wengi hawana utaratibu wa kusoma kabla ya kutumia.
Lugha yenyewe tu ni shida si unajua watanzania tulio wengi Kingereza ni tatizo?! Ila TBS na TFDA ndio wa kituokoa ila nao ni mzigo. Ukiwauliza why bidhaa fake zinaingia nchini wanajitetea oh kuna njia za panya nyingi so sio rahic kudhibiti vyote sasa sijui kuhusu hizi zinazozalishwa humuhumu ndani tatizo ni nini!?
 
Ukweli wanaojua wao Tbs na Tfda pamoja na hao wazalishaji,tena bora Azam ameandika na kwa kiswahili Mo yeye kiingereza tu.
 
Hatari sana,ukizingatia watanzania walio wengi hawana utaratibu wa kusoma kabla ya kutumia.
mtanzania huwa anakunywa kwamza ikiisha ndio huanza kusoma!nashukuru mimi carbonated drinks situmii kabisa juisi au chakula cha kopo na kuku wa kisasa marufuku kabisa
 
Mm sinywagi energy drink yoyote ile na simshauri mtu anywe...kam uko fit energy ndrink y nn?bora unywe soda
 
Naona Drivers wa Mabasi ya MWENDO KASI ndio vinywaji vyao hivo. Wanapenda sana maana muda mwingi wanakuwa kwenye kazi.
Kifupi ni kinywaji hatari sana. Kuna mtu nimewahi kumuelezea alikuwa anakunywa Azam Energy drink ilibidi amwage palepale
 
Vinywaji vyote vya viwandani ni hatari. Watu wajifunze kutengeneza vinywaji kwa kutumia matunda nyumbani.
 
MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO SOMA.. USIPUUZE.!!

Azam Company ni kampuni inayorisha watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la sahara..

Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi jirani zinazituzunguka, kupitia huduma mbali mbali anazotoa kuanzia usafiri wa majini, vyakula hata vinywaji..

Sitasita kumpongeza mzee wetu kwa huduma zako na mungu atakulipa kwa hili..

Kilichonifanya nikujadili hapa mzee ni hiki kinywaji chako kipya, watanzania wamekipokea na wanakitumia sana, kifupi kinauzika huu ndio ukweli..
Na mimi kama miongoni mwa wateja wake nikajaribu kukionja kutaka kujua kina Ladha gani kinywaji hiki??!!
Kinywaji hiki kinaitwa #ENERGY_DRINK
Baada ya kufungua na kuonja kwa mara ya kwanza kilinishinda, nikajikuta navutiwa kusoma kimeungwa kwa kutumia viungio gani {Ingredients}, hiki nilichokiona ndicho Kilichonifanya niandike haya.
Malengo sio kuharibu biashara yako, La.!! Ila ni kuwajuza watanzania ambao wengi wetu lugha iliyotumika hapa ni changamoto kuijua, Lakini pia wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusoma hivi vibandiko kabla ya kutumia..
NINI NILICHOKIONA NA KIKANISHITUA?? HIKI HAPA..!!

{1} INGREDIENTS (Viungio)
Water sugar, Carbondioxide, Citric acid (E330), Taurine, Acidity Regulator, Sodiumcitrate E331, Colour plain, Caramel E150a, [HASHTAG]#CAFFEIN[/HASHTAG], Inositol, Preservative pottasium sorbate E202, Flavouring, Niacin, Pantothenic Acid, Vitamin B6 & Vitamin B12.....

Baada ya kuandikwa hivi viungia, Ukiangalia katika chupa hii kilichofuatiwa ni muda wa matumizi, na mahali kinapozalishwa. Lakini bado sikupata mantiki kwanini kimekuwa kikali mno kwanini??!!!!
GHAFLA katika kudadisi zaidi ndipo chini ya maandishi hayo nikakuta maandishi mengine mapya tena yemewekwa juu ya wino [HASHTAG]#MWEKUNDU[/HASHTAG] kuashiria TAHADHALI maandishi haya yameandikwa katika lugha ya KIINGEREZA Yanasomeka hivi...

High caffein content {31.5mg/m100}, Taurine {0.03%}.. Do not drink more than two bottles per day, Not suitable for persons sensitive to caffein, Children, Pregnant, Breast feeding women, and Avoiding Drinking before Sleeping...

TAFSIRI YA MANENO HAYA KWA TUSIOJUA..!!
Ina kiasi kikubwa cha Caffeine, Usinywe zaidi ya chupa mbili kwa siku, Haifai kwa watu wenye matatizo ya CAFFEINE, Haifai kwa watoto, wajawazito, wana mama wanaonyonyesha, na mwisho usitumie kinywaji hiki muda mfupi kabla hujaenda kulala..
[HASHTAG]#Kwanini[/HASHTAG] Usinywe muda mfupi kabla hujaenda kulala..??!! Kiwango cha 31.5mg/ml100 za caffeine ni nyingi kwa matumizi ya kawaida kuna hatar ya #Blood_Pressure ukiwa usingizini na hatimae ukapoteza maisha hivyo ni hatari kunywa wakati unakwenda kulala, Ina athiri ubongo pia kwa watoto na hata watu wazima, kwa wajawazito, na kwa wanaonyonyesha,...

SASA MZEE WANGU BAKHRESSA ni watanzania wangapi kinywaji hiki pasipo kujua?? Kuna wajawazito, watoto, wazee, wote wanakibugia tu hawajui kinachoendelea katika kinywaji hiki mzee..
Hakuna kinywaji ambacho ni CARBINATED kisichokuwa na CAFFEINE, hii inajulikana lakini mzee HIKI KIWANGO CHA {31.5mg/100ml} ULICHOWEKA HUMU NI KIKUBWA MNO.. Sina hakika lakinini inawezekana kikapita hata kiwango cha Kwenye [HASHTAG]#HEINKEN[/HASHTAG]..

#CAFFEIN_DRINKS kuna baadhi ya nchi kama UFARANSA, MAREKANI, na HISPANIA na UINGEREZA wamepiga marufuku kutokana na athari zake hasa katika ubongo,..
Hakuna shaka mzee baada ya muda mfupi wa matumizi ya kinywaji hiki WATANZANIA WENGI hasa kina mama na watoto na hata wanaume watapata matatizo haya..

€Mfumo wa ubongo kuathirika hili halina shaka,
€Vidonda vya tumbo.
€Kwa wanamama wajawazito wanaobugia pia kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa watoto wenye matatizo hasa AKILI kutokana na UBONGO KUATHIRIWA, wanaonyonyesha pia..

Mzee kama ujumbe huu utakufikia naomba TUONDOLEE JANGA HILI maana haya matatizo tuliyonayo yanatushinda Watanzania wengi WATAUMIA SIKU ZIJAZO na hazipo mbali..
Ninawapenda sana rafiki zangu ndio maana nimewaletea somo hili kwa manufaa ya AFYA zenu na za wale mnaowapenda..
Sambaza kwa KU-share ujumbe huu mpaka umfikie muhusika..

NB:

Samahani Kwa Kampun ya Azam Lengo Langu Sio Baya Bt Ningependa watu wapete Darasa kidogo kuhusu hii bidhaaa

Umeombaa sana radhi wakati hapa huitaji kuomba radhi. Pia kiukweli wewe ni mzalendo wa kweli. Big up.
 
Naona Drivers wa Mabasi ya MWENDO KASI ndio vinywaji vyao hivo. Wanapenda sana maana muda mwingi wanakuwa kwenye kazi.
Kifupi ni kinywaji hatari sana. Kuna mtu nimewahi kumuelezea alikuwa anakunywa Azam Energy drink ilibidi amwage palepale
Bora huyo uliemwambia alikua mwelewa wengine hawataki kabisa kuelekezwa unakuta mtu unamwambia madhara yake anakujibu sijaanza kutumia leo kwa hiyo hayo madhara yangekua yamenipata mda sana
 
Back
Top Bottom