Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
baadhi ya comments zako kwenye hii thread
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ishia-course-applicants-go-and-check-now.html
ni hizi hapa
HAYA KADANGANYE FB WENZAKO!
baadhi ya comments zako
kwenye hii thread
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ishia-course-applicants-go-and-check-now.html
ni
hizi hapa
HAYA KADANGANYE FB WENZAKO!
Ndugu yangu Tangopori laiti ungejua mimi ni nani huku TCU na nipo kitengo gani usingeyasema hayo.....kuanzia tarehe 10 mara tu baada ya deadline ya hawa watu wa 2nd round ambayo ni tarehe 9...ndio tutaanza mchakato mzima wa selection...take my word for that!!!
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila mara tu process ya selection ikikamilika utaona course uiyochaguliwa na chuo husika..mind u ni hali ya kawaida na usifanye chochote katika profile yako kwa sasa ila unashauriwa uwe unaitembelea mara kwa mara kama kutakuwa na mabadiliko yoyote..kama una swali lolote usisite kuniuliza kwa PM hata hapa katika thread..
huyu jamaa mbwiga88 sasa hivi anaiona thread chungu kweli!
nadhani kuna kitu hujakielewa vizuri ndg yangu hawa watu ambao majina yao yametoka juzi sio kama wamekosa vyuo ila ni kwa sababu zifuatazo:i) Being eligible but left due to Competition;
ii) Failure to submit their programme choices;
iii) Choosing programmes that they do not qualify.....trust me bdo hatujafanya selection tupo ktk phase 1......phase 2 inaanza tarehe 10

Kwa topic hii wewe unafanya nini TCU hata huelewi kinachoenedelea??
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ishia-course-applicants-go-and-check-now.html na ulijuaje haya kama huna profile ya TCU? wewe ni form six leaver!..
OVERR!
kadanganye huko facebook sio hapa JF!

sasa competition inamaanisha nini? Acha kutufanya hatuelewii! Wanaposema 1st round wamekosa kutokana na competition, so it's means wameshachaguaa, also nin maana ya ''first come-first served"
kwel unaweza ukawa unafanya kazi ikulu lakin hujui raisi anasafiri lini!!! Ni hayoooo tuuu mbwigaa88! Overrrr
Huyu mbwiga88 anatufanya wote mazoba humu JF wakati sisi ni maGT wa ukweli,ukweli ni kwamba selection zipo tayari na hakuna panel inayokaa kufanya selection ni kwamba hii kitu hufanywa na system tena within a single day kila kitu kinamalizika.