Muhimu!!!:kwa wale wote ambao profile zenu zinaonesha hamjafanya application

Muhimu!!!:kwa wale wote ambao profile zenu zinaonesha hamjafanya application

Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Tangopori laiti ungejua mimi ni nani huku TCU na nipo kitengo gani usingeyasema hayo.....kuanzia tarehe 10 mara tu baada ya deadline ya hawa watu wa 2nd round ambayo ni tarehe 9...ndio tutaanza mchakato mzima wa selection...take my word for that!!!

afu we jamaa mbwiga kweli yani mbona sa hv zmeshakuwa processed? Sa ztakuwaje processed kama selection bado!
 
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila mara tu process ya selection ikikamilika utaona course uiyochaguliwa na chuo husika..mind u ni hali ya kawaida na usifanye chochote katika profile yako kwa sasa ila unashauriwa uwe unaitembelea mara kwa mara kama kutakuwa na mabadiliko yoyote..kama una swali lolote usisite kuniuliza kwa PM hata hapa katika thread..

Umeumbuka mkuu...
 
nadhani kuna kitu hujakielewa vizuri ndg yangu hawa watu ambao majina yao yametoka juzi sio kama wamekosa vyuo ila ni kwa sababu zifuatazo:i) Being eligible but left due to Competition;
ii) Failure to submit their programme choices;
iii) Choosing programmes that they do not qualify.....trust me bdo hatujafanya selection tupo ktk phase 1......phase 2 inaanza tarehe 10

we jamaa unafikiri kuwa watu humu ni mambulula kama unavyofikiri?nenda facebook ndo ukaseme uongo wako!wewe si member wa tcu wala nini,naungana na jamaa zangu kuwa selection kwa first round imeshafanyika ndo maana wakajua coz zp hazina watu! Hebu kuwa great thinker!
 
nadhani kuna kitu hujakielewa vizuri ndg yangu hawa watu ambao majina yao yametoka juzi sio kama wamekosa vyuo ila ni kwa sababu zifuatazo:i) Being eligible but left due to Competition;
ii) Failure to submit their programme choices;
iii) Choosing programmes that they do not qualify.....trust me bdo hatujafanya selection tupo ktk phase 1......phase 2 inaanza tarehe 10

Kumdanganya mwenye akili inakulazimu uwe na akili zaidi yake.
 
sasa competition inamaanisha nini? Acha kutufanya hatuelewii! Wanaposema 1st round wamekosa kutokana na competition, so it's means wameshachaguaa, also nin maana ya ''first come-first served"
kwel unaweza ukawa unafanya kazi ikulu lakin hujui raisi anasafiri lini!!! Ni hayoooo tuuu mbwigaa88! Overrrr

Hahahahah....au huyu ndo wale wanotumia computer za ofisi kulog in facebook na jf???...maana hajui kituuuuu
 
Hahahahahahahahaaaa....ila wanangu nimecheka sana na hizi comments zenu...hadi machozi daaagh
 
Huyu mbwiga88 anatufanya wote mazoba humu JF wakati sisi ni maGT wa ukweli,ukweli ni kwamba selection zipo tayari na hakuna panel inayokaa kufanya selection ni kwamba hii kitu hufanywa na system tena within a single day kila kitu kinamalizika.

Huo ndo ukweli.kazi ya selection inafanywa na mtu mmoja tu wa it..ndani ya muda mfupi na kutoa report kwa vitengo husika. Baada ya kuangalia ile report ndipo wanaweza kufanya marekebisho kidogo manually na kupeleka majina vyuoni. Majina hayawezi kutangazwa kabla hayajapelekwa vyuoni na kukubaliwa na vyuo husika.
 
Back
Top Bottom