nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,459
Mimi ni mtumishi wa umma kama wengi tu mliopo humu.
Inanishangaza sana ninapoona mtumishi (mtumwa) kushabikia siasa za CCM. Sababu kubwa inayonifanya nishangae ni CCM kuwakandamiza watumishi kwa yafuatayo
1. Kuwalipa mishahara midogo. Imagine mbunge alipwa posho ya kikao 620,000? kwa siku huku mtumishi mshahara wake kwa siku 30 za mwezi mzima anapata 400,000/=
2. Watumishi wengi wanadai SITAHIKI Zao mbali mbali kama PESA ZA LIKIZO AU UHAMISHO KWA ZAIDI YA MIAKA 7, hawajalipwa mpaka leo. YAANI MIAKA 7 UNADAI PESA HUJALIPWA MPAKA LEO UPO NA UNAWAPIGIA PANDE CCM WAENDELEE KUKUNYONYA
3. Pension hii kifupi ni kwamba ilifutwa haipo kabisa lakini ccm wanagawana zaidi milioni 350 kila baada ya miaka 5.
Sijui tumelogwa na nani? Ni kitu gani kinachotufanya tuwe hivi.
Watumishi wa hali ya chini na wajinga kabisa ni polisi na magereza huko ndio usiseme kuko hovyoooooo.