Kwema Mambo vp upo powaa...ngoja na Mimi nije kuendesha farasiMkuu kwema?
Muhindi huyo Iko puuzi Sana haina akili na niwa dhulumati wanao jificha kwenye dini ya kiislamu.Poa poa kabisa niko zangu bichi sahizi nakula upepo, muhindi alijua nafanya kazi pale kwa elfu 25 yake sina hela. Nimeacha kazi mbele yake nimekodi farasi elfu 30 mbele yake kwenda Lula nae bata
Mkuu,Kama kuna vumbi ungemwagia kidogo machoni
washenzi sana wahindi Ila walikutana na mimi mchaga mbadi, π
Haaahaa π π many many talkHata mimi
I can not do the job with many many talk
Hatareee sanaa mkuu π€washenzi sana wahindi Ila walikutana na mimi mchaga mbadi, π
Niliwahi kosea kutype EFD RECEIPT nikaona kabisa nikatoa,
sasa imefka kwao ni zero sales kapiga simu, nikamuuliza Ina shida gani EFD RECEIPT? Akaituma WhatsApp then akanipa maelekezo nifanye nn tukaelewana...
Kuna huyu wa kitumbini kutwa alikuwa ni kusema shusha zigo, mimi huyu ? Afu niwapangie
Namwambia nipe hela, na invoice hii hapa... Kushusha sio jukumu langu
walikoma,
Ila nachowapendea wapo straight kwenye kazi, akihitaji mzgo ukawa vzr aah mtapiga sana kazi.... Ishu ukosee aseeh kitaumana
Ulitaka kusemaje indeed.Huyo ni Farasi dume?
Ndiyo wakoloni wa kileo haowashenzi sana wahindi Ila walikutana na mimi mchaga mbadi, π
Niliwahi kosea kutype EFD RECEIPT nikaona kabisa nikatoa,
sasa imefka kwao ni zero sales kapiga simu, nikamuuliza Ina shida gani EFD RECEIPT? Akaituma WhatsApp then akanipa maelekezo nifanye nn tukaelewana...
Kuna huyu wa kitumbini kutwa alikuwa ni kusema shusha zigo, mimi huyu ? Afu niwapangie
Namwambia nipe hela, na invoice hii hapa... Kushusha sio jukumu langu
walikoma,
Ila nachowapendea wapo straight kwenye kazi, akihitaji mzgo ukawa vzr aah mtapiga sana kazi.... Ishu ukosee aseeh kitaumana
Afu wanajua kulia mbn expensive wakati ukienda maduka yao washenzi tuu π πHatareee sanaa mkuu π€
Wanatoka kwao maskini wa kutupa na nguo mkuu kuu...Afu wanajua kulia mbn expensive wakati ukienda maduka yao washenzi tuu π π
Hahaha kumbe, Ila wana bidii ya kazi aseeh so poaWanatoka kwao maskini wa kutupa na nguo mkuu kuu...
Wanakuja kutajirikia hapa hapa nyumbani Tanzania π€£ π