Muhindi akikupa kazi anakuangalia mpaka unavyoimaliza. Yni anakutaftia sababu tuMuhindi huyo Iko puuzi Sana haina akili na niwa dhulumati wanao jificha kwenye dini ya kiislamu.
Hata iyo kazi imemshinda sababu ya ujuaji wao.. maelekezo mengi kumbe hawezi kazi..π
Hahaha hatare sana mzeeNdiyo wakoloni wa kileo hao
Yeah, hawanaga na HAWAPENDI mtu mwenye EXCUSES nyingi kwenye mambo ya kazi π€Hahaha kumbe, Ila wana bidii ya kazi aseeh so poa
Sasa ujuaji mbele ya kalaga baho? Mm mwemyewe much know. Akileta ngolowanje namuagizia bia namlipia nakazi naiacha simdai hata mia naenda kuchili geto na shishaKaka kaka kaka.
π
WAHINDI ni wajuaji Sanaa Sanaa afadhali WAHINDI wa Pakistani Ila 99.9 % ni wagumu Sana kuelewa na pia ujuaji ni mwingi mnoo.
Pia ni watu wa shortcut Sana Sana pia ni wanyonyaji Sana Cha KUSHANGAZA ni kujifanya ni WAISLAMU SANAA KUMPITA MTUME MOHAMED π€
Watu Hatareee sanaa wa aina iyo Kuna jamaa mmoja alisimuliaga humu ALIENDA home kwa muhindi kutengeneza SIMU.Muhindi akikupa kazi anakuangalia mpaka unavyoimaliza. Yni anakutaftia sababu tu
Aisome min -meSasa ujuaji mbele ya kalaga baho? Mm mwemyewe much know. Akileta ngolowanje namuagizia bia namlipia nakazi naiacha simdai hata mia naenda kuchili geto na shisha
Watz tukijitahidi hapo pia tunatoboa, πYeah, hawanaga na HAWAPENDI mtu mwenye EXCUSES nyingi kwenye mambo ya kazi π€
Yeye anajua kama anakusaidia, huna pa kwenda. Wewe unabadili mind set yake hapohapo unamlipa yeye akatafte anaoamin wenye njaa, pumbav kabisa.Watu Hatareee sanaa wa aina iyo Kuna jamaa mmoja alisimuliaga humu ALIENDA home kwa muhindi kutengeneza SIMU.
Jamaa akaleta ujuaji akiwa kaisambaza simu yaani kifungua jamaa kuona muhindi maelekezo mengi akakusanya tools AKAOMBA pesa ya nauli akawa anataka kutoka ikabidi muhindi awe mpole jamaa aka mwambia apunguze maelekezo mengi amwache afanye kazi π
Kweli leo nauguza, kesho msiba wa sijui nani kesho kutwa harusi kila / Mara kwa Mara ukiwa mwomba udhuru ama ruhusa huwa hawapendi kabisaaaWatz tukijitahidi hapo pia tunatoboa, π
Hata me ngekuwa boss, ruhusa hazitoki kizembe π tuache masihara na kaziKweli leo nauguza, kesho msiba wa sijui nani kesho kutwa harusi kila / Mara kwa Mara ukiwa mwomba udhuru ama ruhusa huwa hawapendi kabisaaa
Ukiona mtu anaongea sana kazini basi jua ni mbabaishaji tu. Anajificha kwenye kivuli cha maneno kuepuka kuulizwaHata mimi
I can not do the job with many many talk
ππ Noma Sana kama padri kukutwa kwenye chumba Cha ma sister.Hata me ngekuwa boss, ruhusa hazitoki kizembe π tuache masihara na kazi
Mh. Temba ft juma nature _ maskini jeuri.Maskini jeuri aiseee
Mimi nina damu ya wahindi kwa mbali mkuu, kwa hiyo jamaa aache kuwakasirikia ancestors wangu π.
Mchaga wa Pakistan ππMimi nina damu ya wahindi kwa mbali mkuu, kwa hiyo jamaa aache kuwakasirikia ancestors wangu π.
Yeah πMchaga wa Pakistan ππ
Hahaha niliupenda sana upadri ilinichukua muda ku heal, πππ Noma Sana kama padri kukutwa kwenye chumba Cha ma sister.
Kwanini ulipenda u padri kwaio hukutaka kua na familia π βΊοΈ kwaio kwanini uliacha hiyo ndoto mkuuHahaha niliupenda sana upadri ilinichukua muda ku heal, π
saa hz hata sitamani kuwa mwenyekiti tuu wa vijana ntakimbia nife