muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

Wapi? miye mbara tena chinga................hila wanvutia kwa madoido yao hao.......ati! Shufaa kumbe ni apple?
nini Twaiba kuna vitu vya Milhat Humaymat,Farhiya,Hyrat,Najat,Hytham,Zulekha,Suhaila..............

Ha kumbe we chinga?
nyie ndo wale 'kumnyima mtu kitu unacho wajisikia vibaya' lol

Halafu hao kina Suhaila hao wengi wao mbwembwe tu
unakuta jina halisi Mwanakombo lakini ukimuuliza atakwambia Suhaila lol
nilimpata mmoja anajiita Yumnah...kumbe ni Zakia lol
 
Kwani we Shufaa mzanziberi? nimevutiwa na lafidhi yako.................btw wanatoshana mwayego almuradi wanapagaishwa enough kumhonga huyo bwana gari siye ni nani kuwaingilia?
enhee! lakini haijakhusu mwanamme ukajiachie upewe tuu kama maiti haiwii khasaa na wala sio raha inatkiwa na yeye ajikaze...
 
wanagombea Mr. All-Night, huyo jamaa lazima atakuwa the male version of Erotica
 
Last edited by a moderator:
enhee! lakini haijakhusu mwanamme ukajiachie upewe tuu kama maiti haiwii khasaa na wala sio raha inatkiwa na yeye ajikaze...

Inakhusu haswa...........kwani we umejuaje ka kajiachia? Unajua anakimbia maili ngapi kwa shughulini? Ile kazi achana nayo kabsa, afu akiongwa mwanamke ni sawa?
 
ikiwa anahongwa kwa kuwalaghai hao wadada sio sawa lakini kama wanatoa wenyewe baada ya kupagaishwa na Ghaliya, hiyo ni shauri yao hao wadada!

na kama anakaa hajishughulishi yaan anasubiri tu kuletewa na wadada ni tatizo lakini kumbe Ghaliya na yeye ana kazi yake ila hao vidada ndio vinashoboka vyenyewe kumhonga mimi sioni tatizo!

Ahh babu weee,wako wanao stahili kupewa lakini sio kama mwanamme huyu mwanamme suruali alojibweteka mpaka sofa anunuliwe kwa lipi
asojikaza.....
 
Inakhusu haswa...........kwani we umejuaje ka kajiachia? Unajua anakimbia maili ngapi kwa shughulini? Ile kazi achana nayo kabsa, afu akiongwa mwanamke ni sawa?
Anapewa na wanawake na haoni tabu kumwambia mmoja kati yao akisafiri nataka hiki nataka kile na hao wanawake wao akivaa bwana vile viatu nimenunua mie akinunua mwenzie anasema loo,kiatu gani kile ma angalia kule mbele kimechongoka kama dau. nakwambia huyu sie mwanamme kabisa wamechukua gumegume.....
 
kama anakaa hajishughulishi yaan anasubiri tu kuletewa na wadada ni tatizo , lakini kumbe Ghaliya na yeye ana kazi yake ila hao vidada ndio vinashoboka vyenyewe kumhonga mimi sioni tatizo!

enhee! lakini haijakhusu mwanamme ukajiachie upewe tuu kama maiti haiwii khasaa na wala sio raha inatkiwa na yeye ajikaze...
 
Ha kumbe we chinga?
nyie ndo wale 'kumnyima mtu kitu unacho wajisikia vibaya' lol

Halafu hao kina Suhaila hao wengi wao mbwembwe tu
unakuta jina halisi Mwanakombo lakini ukimuuliza atakwambia Suhaila lol
nilimpata mmoja anajiita Yumnah...kumbe ni Zakia lol

Yalah..............heri Zakia je ungejegundua aitwa Mwanaukindu
 
kama anakaa hajishughulishi yaan anasubiri tu kuletewa na wadada ni tatizo , lakini kumbe Ghaliya na yeye ana kazi yake ila hao vidada ndio vinashoboka vyenyewe kumhonga mimi sioni tatizo!
wote wanafanya kazi sema jamaa hana mshahara mkubwa alafu anandugu wengi kama Kunguni haipiti mwezi bila ndugu zake kuja kazini kutaka pesa ya matumizi....
 
Angekuwa kakangu ningeweka kigodoro kumpongeza...........teh kupata mwanamke tena si moja wa kuhonga si kazi ndogo, inaonesha kidume kimejipinda si kitoto

Na ameshazoea vya kupewa masikini...Akikosa wa kumhonga atakufa siku si zake maana kila kukicha anawaza leo atahongwa nini ili aweze kuishi...
 
Maneno yako kweli manake fikiria mpaka chai asubuhi kama wale wanawake hawapo offisini ataanza kujitia vp leo hamwendi kunywa chai tufatane? ukiendanae nyote mta kula pamoja yeye ndio wakwanza kutangulia mlangoni na kijiti mdomoni na chupa ya maji na sio mara ya kwanza wala ya pili yani anapenda bure....
 
msipotoshe maana ya mwanaume kama mabinti,

mwanaume kama mabinti ni yule mwanaume ambaye hajishughulishi anaishi kwa kuwategemea wadada kwa 100% ,

Lakin mwanaume ana shughuli zake zinamuingizia kipato tena cha kutosha kuendesha maisha yake, hata ajabu hicho kipato ni kikubwa kuliko hata cha huyo mdada muhongaji hapo huwezi muita huyo mwanaume ni kama mabinti,

mfano mimi naish kwangu nina maisha yangu hunilipii kodi hata kipato nakuzid ujipendekeze kuniletea friji , hapo utasema ni mwanaume kama binti??!!

vilevile mtoa uzi amesema wazi Ghaliya anafanyakzi tena ofisi moja na hao wadada, kwahiyo kumbe Ghaliya anajishulisha na si msubiriaji vya wadada, ila tu hao wadada wamejipendeza wenyewe na kidume ndio hivyo tena akatae kupokea kwanini?
 
Hana kipato kikubwa nyumba alipewa zakazini furniture ndio katiliwa na wanawake yani hata kama mshahara wako mdogo
japo siku moja jinyime uwape wenzio japo offer ya lunch hakuna kwa bwana yule,lakini yeye hasubiri kualikwa akiwasikia mnaenda kule sehemu huyo keshaingia kwenye mkumbo...
 
Back
Top Bottom