Usije kushangaa Mpoki akawa waziri wa michezo uchekeshaji na movie Naibu waziri Dr cheniDah!..sielewi kabisa
Utaerewa tuuDah!..sielewi kabisa
Utaerewa tuu
Anajua kusoma na kuandika.Leteni CV ake
Ana udokta wa kitu gani?Anayejiunga CCM naanza kumchukia mara mojaMuigizaji Mkongwe na Muigizaji maarufu amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi.
mimi ndio sielewi zaidiDah!..sielewi kabisa
mimi ndio sielewi zaidi
Hakuna kituccm ni mtaji wa wehu