Uchaguzi 2020 Muhsein Awadhi Said (Dkt. Cheni) achukua fomu ya kuwania Ubunge Ilala kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Muhsein Awadhi Said (Dkt. Cheni) achukua fomu ya kuwania Ubunge Ilala kupitia CCM

kwa mwelekeo huu bunge lijalo litakuwa bunge la ndioooo ,bonge la rubberstamp.
 
Kwa ninavyojua ni kwamba siyo kweli kama ana PHD au ni MD ila kuna igizo aliigiza kama daktari na jina likabaki kama
 
Hata mimi nilifikiri ni yule wa Zanzibar (Dr Shein)! Nikajua kweli huyo baba ni mpole na mtu wa kujishusha kama walivyomnadi! Ameacvha Urais na kwenda kwenye Ubunge!
Watu wamemzoea kama Dr. Chain, CCM wakimpitisha inabidi atumie jina hilohilo Dr. Chain!!!
 
Usije kushangaa Mpoki akawa waziri wa michezo uchekeshaji na movie Naibu waziri Dr cheni
Hivi wewe upo sawa kiakili? Unadhani Ccm ni chama cha kipuuzi kama Chadema. Hao wanachangia chama tu lakini wagombea makini na waadilifu ndio watapitishwa.
 
Hivi wewe upo sawa kiakili? Unadhani Ccm ni chama cha kipuuzi kama Chadema. Hao wanachangia chama tu lakini wagombea makini na waadilifu ndio watapitishwa.
Unawaonea wivu cdm kwakua wapo strong and well organized kuliko ccm hili lipo wazi ndio maana mwamua kuwaua
 
Back
Top Bottom