Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhh Mkuu usiombe ukutane na mlemavu afu bia zipande kichwani nilishuhudia moto wakeBar kuna kero nyingi mkuu kama huhudhuriagi ndio utamind ila wengine tushazoea
Kwahy wew hukumtetea uyo barmaid!?Bar kuna kero nyingi mkuu kama huhudhuriagi ndio utamind ila wengine tushazoea
Hahhh viungo bro,Alitak kuzichapa afu ubaya ilikuw sheher wachag siunajuaMlemavu wa akili au viungo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kina watu malimbukeni wakiwa na.madem zaoAchana nao walugaluga hao walijua mwamba walijua wewe fisi au inakuaje
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Duh!! ungewaagizia kwa mafungu hadi waone aibu ila muhudumu aliwanyoosha hasaaGood morning fellas, long time no see
Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482] so meneja na wahudumu wananifahamu vilivyo.
Nikawa nimekaa kwenye meza iliyopo kivulini ina viti vitano ila nilikuwa alone napiga zangu giness smooth bariiiiiidioi[emoji481] meza zingine zilikuwa juani na ndani kulikuwa na kelele na kama kumejaa fulani hivi. Mara wakaja jamaa wawili na madem zao na Alteza[emoji594] yao wamevaa miwani nyeusi[emoji41] na vipensi wakakaa mezani kwani wala sikujali nikaendele kuperuzi kwenye simu yangu [emoji336][emoji336]sina habari.
Wakaagiza vinywaji vya viwili viwili wakaendelea na stori za kwa sauti ya juu hadi wateja wengine wakaanza kututolea macho, walipomaliza mmoja akaropoka "we malaya njoo huku akimpungia muhudumu kwa ishara ya kumuita" alipofika akamwambia lete bia mbili mbili ina muruke huyu jamaa, nikamwangalia nikatabasamu zangu nikaendelea na shughuli zangu.
Yule muhudumu akaja na kapu lina bia 10 akaziweka katikati ya meza akaanza kuzipanga akawapa mbilimbili mi akaniwekea bia 6, wale jamaa wakamuuliza "jamaa hajaagiza hizi bia analipa nani?" Muhudumu kwa lugha ya nyodo na vidole juu kama anawasuta[emoji1305][emoji1305][emoji1305] akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?
Nikatabasamu kwa jeuriii jamaa wakakasirika wakahama meza na kwenda kukaa juani wateja wengine wakaanza kucheka kile kicheko cha kero na cha kugugumia kwa kwi kwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nikapiga bia tatu mchizi wangu akaja tukaendeleza vinywaji mwisho wa siku nikamlipa dada zile bia sita na zingine tulizokunywa tukasepa.
View attachment 1946817
Hahhh wew acha tu yan at a kipaimara mzigo upo mwingi tu hadi pombe za kienyejiSherehe za wachaga ukialikwa usinywe bia mtaani kabla ya sherehe?
Wanachafuaga meza hatari
Na iyo alteza ndo tatizo'!! na ivyo vipensi wamevaa ndo balaa kabisa.... hawa jamaa wavipensi wapo na roho nyepesi sana aisee na unakuta kaweka funguo inaning'inia kwenye pensi yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Good morning fellas, long time no see
Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482] so meneja na wahudumu wananifahamu vilivyo.
Nikawa nimekaa kwenye meza iliyopo kivulini ina viti vitano ila nilikuwa alone napiga zangu giness smooth bariiiiiidioi[emoji481] meza zingine zilikuwa juani na ndani kulikuwa na kelele na kama kumejaa fulani hivi. Mara wakaja jamaa wawili na madem zao na Alteza[emoji594] yao wamevaa miwani nyeusi[emoji41] na vipensi wakakaa mezani kwani wala sikujali nikaendele kuperuzi kwenye simu yangu [emoji336][emoji336]sina habari.
Wakaagiza vinywaji vya viwili viwili wakaendelea na stori za kwa sauti ya juu hadi wateja wengine wakaanza kututolea macho, walipomaliza mmoja akaropoka "we malaya njoo huku akimpungia muhudumu kwa ishara ya kumuita" alipofika akamwambia lete bia mbili mbili ina muruke huyu jamaa, nikamwangalia nikatabasamu zangu nikaendelea na shughuli zangu.
Yule muhudumu akaja na kapu lina bia 10 akaziweka katikati ya meza akaanza kuzipanga akawapa mbilimbili mi akaniwekea bia 6, wale jamaa wakamuuliza "jamaa hajaagiza hizi bia analipa nani?" Muhudumu kwa lugha ya nyodo na vidole juu kama anawasuta[emoji1305][emoji1305][emoji1305] akawaambia "hizi ni kwa bili yangu upo nyonyo"?
Nikatabasamu kwa jeuriii jamaa wakakasirika wakahama meza na kwenda kukaa juani wateja wengine wakaanza kucheka kile kicheko cha kero na cha kugugumia kwa kwi kwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nikapiga bia tatu mchizi wangu akaja tukaendeleza vinywaji mwisho wa siku nikamlipa dada zile bia sita na zingine tulizokunywa tukasepa.
View attachment 1946817
Ndio stahili zao aisee kama uliwaona miguuni wana visendo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Na iyo alteza ndo tatizo'!! na ivyo vipensi wamevaa ndo balaa kabisa.... hawa jamaa wavipensi wapo na roho nyepesi sana aisee na unakuta kaweka funguo inaning'inia kwenye pensi yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]