Muhudumu wa Bar alivyowaabisha jamaa wa "mupe muruke, mupe muruke"

Duh!! ungewaagizia kwa mafungu hadi waone aibu ila muhudumu aliwanyoosha hasaa
 
Na iyo alteza ndo tatizo'!! na ivyo vipensi wamevaa ndo balaa kabisa.... hawa jamaa wavipensi wapo na roho nyepesi sana aisee na unakuta kaweka funguo inaning'inia kwenye pensi yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio stahili zao aisee kama uliwaona miguuni wana visendo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sema mkuu hukujiongeza tu,ilitakiwa huyo muhudumu umsubiri afunge ukajilie zako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…