Punguza pombe KaliNgoja waje wale jamaa watasema huyo ni MSHANGAZI PROMAX. πππ
NB. Kuna mwanangu wale wanakata pombe Kali gudugudu aisee now ini limevimba , macho ya NJANO SANAAAAAA, MWILI una ganzi hapati usingizi uchovuu, MWILI kukosa nguvu.. Bora kunywa kistaarabu
Oya min -me , wife kasema niache pombeee π π
Anasema rafiki angu Edo now anapambania afya yake.. ini limepata damage now yupo home hawezi toka kupambania life yake na familia yake changaKunywa bia tu mkuu , uache pombe ili iweje sasa?
Pombe kali aache ale bia zake kama ni 7 kwa siku siku mbaya , apige mazoezi na kula mlo kamili basiPunguza pombe Kali
Ila usiache kabisa
Tutakupoteza
Mapombe makali unakunywa mara moja snaAnasema rafiki angu Edo now anapambania afya yake.. ini limepata damage now yupo home hawezi toka kupambania life yake na familia yake changa
π
Napiga sana konyagi ila na mix na tonic water.Punguza pombe Kali
Ila usiache kabisa
Tutakupoteza
Hpn aisee huyu bint akitembamea ndio utamuelewa vzr sna kaniHuyo sio mzuri mkuu
Ilikuwa tu usiku na ulikuwa umelewa
Nimeweka kwenye VAR lakini Bado sijaona
Yaah pombe Kali sio za kuendezaPombe kali aache ale bia zake kama ni 7 kwa siku siku mbaya , apige mazoezi na kula mlo kamili basi
Ndio yey mkuu ni PC mzee mashine sna. KwanguHuyo ndio muhudumu unae mzungumzia ?
Kwaio mkuu konyagiiii niachane nazo?! Wakati bia ndio chanzo cha watu kuugua kisukariPombe kali aache ale bia zake kama ni 7 kwa siku siku mbaya , apige mazoezi na kula mlo kamili basi
Umelewa mkaliNdio yey mkuu ni PC mzee mashine sna. Kwangu
Hahha au acha kabisa tu mkuuπKwaio mkuu konyagiiii niachane nazo?! Wakati bia ndio chanzo cha watu kuugua kisukari
Uefa ntaleta picha kamili akiwa anatembeSema bwashee kaniletea kiu ya bia , acha nivute moja hapa ili tutambae na uzi
Kunywa pombe Kali kila jioni ni hatari sana mkuuNapiga sana konyagi ila na mix na tonic water.
Atleast konyagiiii ndogo mbili Kila jioni baada ya kazi..
Nina weight ya 85kg nakula vizuri na Huwa nikinywaga silewi ndio kisa cha Mimi kunywa konyagiiii ndogo mbili Kila jioni nikimalizaga KAZI.
Wewe ni dr wa nini mkuu?Wakuu poleni san na vita vya Iran na Israel via marekani
Siyo. Pouwa wakuu wangu hii vita imeniadhiri sana pakubwa ukizingatia mm ni middle business man ambae kwa kias kikubwa nategemea mizigo kutoka china kisha na mm niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sna. Ila hvyo hvyo tunapmbna
Vita hivi siyo pouwa kbsa and these time marekani wameingia Cha kike mzozo ikiendelee hv uchumi WA taifa na wangu kwa ujumla utayumba sna
Pamoja na kwamba vita vinaendelea ila bado haijanizui mm kulamba bia mbili tatu ila sas hv nimepumguza bia kwamba nafanya mix ya bia na nyagi ili nifikie level mapema kbsa .castle lite za cane mbili au tatu na nyagi kisichana pembeni yake ....utaona picha chini hapo ingawa pia nyagi zimekuwa fake mno ila hvyo hvyo ntapambana nayo tu inanipaga mzuka sna
Bas bhna kuna bar yangu Huwa napenda tu kwenda kwa vyovyote vile kwani Ina watu wastarabu alfu mmeliki wake ni kigogo wa serekali katka idara fln hv
Hapa majuz boss ameleta vyombo vipya kbsa wahudumu wapya vyuma kweli kweli .mara nyingi mm sishobokei wahudumu ila these time huyu hapana ni mzuri kwa kias chake kias kwamba watu wanajazana kuja kuwa piga sound .nimefanikiwa kupewa namba demu hashobokei bia wala misozi sana akitumia ni bia 2 flying fish basi ankushukushukuru anatumia iphone macho mawili πkiashirio kwamba kuna muwekezaji mkubwa lzm na mm videmu vinao tumia iphone nawaguza tu kisha nasepa zangu
Naachi vumbi la hatari
Naomba kiwasilisha
Ushalewa mangiZ
Uefa ntaleta picha kamili akiwa anatembe
Acha uupuz kadhalilishwa mkeo wako kwani sura yake inaonekanaHuu ni udhalilishaji, Mods wafute huu uzi.
Kmmk huyu demu mkali mkuu labda uajmuona liveMdau alikuwa amelewa
Huyo hata anipe bure sipigi
Kweli sijui nianze kunywa nini kwa Sasa bia za lite kwangu hazinileweshi Wala sipati vibe..Mapombe makali unakunywa mara moja sna
Onesha kosa mkuu dhibitsha kama wa wezaHiki ulichokifanya ni kosa kisheria za mtandaoni. Jirekebishe.
Naheshimu mno hisia na mtazamo wako.Hpn aisee huyu bint akitembamea ndio utamuelewa vzr sna kani