Muhudumu wa bar ananivuruga sana

Zamani humu jamvini ulikuwa unajifanyaga mwanamke hadi malofa wakawa wanakutongoza. Walipokushtukia ukazama chaka na kubadilisha avatar picha. Baadaye ukaamua tu uwe muwazi wewe dume.
 
Kunywa pombe Kali kila jioni ni hatari sana mkuu
Aaah ni hatari aisee
Punguza piga safari lager au bia nzito kama castle milk ambazo zitakupa mzuka lakini kukiacha na afya yako
Ntaishi humu😊

Mazoea ni mabaya sana sanaa watu pamoja na kuwa wadau wa afya waandamizi senior lakini tumeangukia kwenye pombeee
 
Zamani humu jamvini ulikuwa unajifanyaga mwanamke hadi malofa wakawa wanakutongoza. Walipokushtukia ukazama chaka na kubadilisha avatar picha. Ukaamua tu uwe muwazi wewe dume.
Pumbavu snaa kijan nani aliwai kuwa demu humu ile pic nilikuwa namiliki nilikuwa naktomba hadi nikazalia mtoto ndoo nikapata mzuka nikamposti sas ninyi mkajuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…