Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niandae kusaidiwa huduma zingine, wakarimu sana hao watu.Wanajukwaa naomba kusaidiwa kuchumbia mwanamke anaefanya huduma sehemu tajwa vipi anahitaji kuchunguzwa zaidi na keshasema ukweni yeye ni bikra na yupo tayari kuwa mke.
Mawazo yenu tafadhali
Naongeza swali hiyo bikra ni ipi? Fafanua tafadhali.Umejuaje ni bikra? [emoji23][emoji23]
"....na keshasema ukweni yeye ni bikra na yupo tayari kuwa mke"Wanajukwaa naomba kusaidiwa kuchumbia mwanamke anaefanya huduma sehemu tajwa vipi anahitaji kuchunguzwa zaidi na keshasema ukweni yeye ni bikra na yupo tayari kuwa mke.
Mawazo yenu tafadhali
Sema na moyo wakoWanajukwaa naomba kusaidiwa kuchumbia mwanamke anaefanya huduma sehemu tajwa vipi anahitaji kuchunguzwa zaidi na keshasema ukweni yeye ni bikra na yupo tayari kuwa mke.
Mawazo yenu tafadhali
1,000,000 km!Extra mile
Kilo kilo kilometers
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Achukue chombo bikra au sioKuna tofauti Kati ya guest house,bar,lodge na hotel.yeye anafanya kazi wapi.
Tuachane na hilo mkuu..wewe unaoa kazi Yake au unamuoa huyo bidada?
Ukitaka kufanya jambo lako mkuu wewe fanya tu maana ukitegemea mawazo ya watanzani unaweza kujikuta umeshakufa huku umesimama.hatujawahi kuwa ni watu wa kupongeza mtu a apo fanya jambo zuri (ingawa si wote lakini wengi wetu tunakuwa na roho ya kukatisha tamaa)
Unampenda?umeridhishwa nae?mkuu weka chombo ndani acha mambo ya ajabu
Atie ndani chuma aachane wenge.jf haiendi kuishi na mkewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Achukue chombo bikra au sio