Muhudumu wa hoteli, logde au bar ili kumuoa naye anahitaji kuchunguzwa?

Muhudumu wa hoteli, logde au bar ili kumuoa naye anahitaji kuchunguzwa?

Kuna tofauti Kati ya guest house,bar,lodge na hotel.yeye anafanya kazi wapi.

Tuachane na hilo mkuu..wewe unaoa kazi Yake au unamuoa huyo bidada?

Ukitaka kufanya jambo lako mkuu wewe fanya tu maana ukitegemea mawazo ya watanzani unaweza kujikuta umeshakufa huku umesimama.hatujawahi kuwa ni watu wa kupongeza mtu a apo fanya jambo zuri (ingawa si wote lakini wengi wetu tunakuwa na roho ya kukatisha tamaa)

Unampenda?umeridhishwa nae?mkuu weka chombo ndani acha mambo ya ajabu
Muhudumu wa hotel pia alishafanya baadhi ya hayo maeneo mapokezi
 
Neno la ukweli sio zuri, na Neno Zuri halina ukweli

U S I O E
 
Muhudumu wa hotel pia alishafanya baadhi ya hayo maeneo mapokezi
Watz wengi wanaonaga mtu anaefanya kazi ya hotel ni Malaya.ok huo ndio uelewa wao juu ya hoteliers so huwezi kuwabadilisha.

Lakini kama anafanya kazi kwenye hotels na brands kubwa kubwa za hotels…rafiki usidanganyike oa.kwanza hizi hotels (5stars)ni ngumu sana kukuta mfanyakazi analeta tabia zake za umalaya Kwa wageni wakiwa kwenye propati aise…ninakuhakikishia ikigundulika inafanyika hivi huwezi kuchukua dakika kadhaa unafutwa kazi mara moja.

*ukiwa kwenye tourism industry unakuwa kwenye ulimwengu mwingine kabisa labda kama mtu hajitambui
 
We oa tu kugongewa kupo tu kama mwanamke ajitambui maana ata wanaofanya kaz maofisin wanaliwa na wafanyakaz wenzao, ma-ex, waliokuwa college mate, nk pia.
Kwani anayefanya kazi bar Ile siyo ofisi?
 
Back
Top Bottom