Muhudumu wa hoteli, logde au bar ili kumuoa naye anahitaji kuchunguzwa?

Muhudumu wa hotel pia alishafanya baadhi ya hayo maeneo mapokezi
 
Neno la ukweli sio zuri, na Neno Zuri halina ukweli

U S I O E
 
Muhudumu wa hotel pia alishafanya baadhi ya hayo maeneo mapokezi
Watz wengi wanaonaga mtu anaefanya kazi ya hotel ni Malaya.ok huo ndio uelewa wao juu ya hoteliers so huwezi kuwabadilisha.

Lakini kama anafanya kazi kwenye hotels na brands kubwa kubwa za hotels…rafiki usidanganyike oa.kwanza hizi hotels (5stars)ni ngumu sana kukuta mfanyakazi analeta tabia zake za umalaya Kwa wageni wakiwa kwenye propati aise…ninakuhakikishia ikigundulika inafanyika hivi huwezi kuchukua dakika kadhaa unafutwa kazi mara moja.

*ukiwa kwenye tourism industry unakuwa kwenye ulimwengu mwingine kabisa labda kama mtu hajitambui
 
We oa tu kugongewa kupo tu kama mwanamke ajitambui maana ata wanaofanya kaz maofisin wanaliwa na wafanyakaz wenzao, ma-ex, waliokuwa college mate, nk pia.
Kwani anayefanya kazi bar Ile siyo ofisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…