Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo.
Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni.
kufika mapumzikoni, tulipokelewa na pisi kali; ile kumuona tu, mwili ukatikisika. Nikiangalia niliyeenda naye hayuko viwango kumzidi yule pisi kali. Ikabidi nijikaze tu, huku moyoni nikiumia.
Ile kesho yake nataka kuondoka, nikamkuta pisi kali kaunta; nikamtazama, nikajisemea kimoyo moyo;..Nitarudi siku nyingine.
Jamani, nyie mnaomiliki 'lodge' n.k msiwe, mnawaajiri pisi kali; watavunja mahusiano ya wateja wenu.