Muhudumu wa 'lodge' ni pisi kali kumzidi mpenzi wangu niliyempeleka hapo mapumzikoni

Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo.
Hizo pisi nyingi za lodge ni mizigo ya maboss wenye hizo lodge

Kuna kipindi nilisafiri kutoka hapa Dom kwenda sehemu moja huko kupita kahama panaitwa nyarugusu nikafikia lodge moja ambayo kwa hapo kijiiini ni moja ya lodge kali sana sio siri yule mdada wa counter ya vyumba alikuwa bonge la pisi toto limepanda hewani jeupe halafu lina uno kama lote[emoji39]

Japo nilikaa hapo kama week sikufanikiwa kulitafuna maana inasemekana usiku saa tano boss alikuwa anakuja anapaki ndinga yake na kulala chumba cha huyo demu
 
😂😂😂
 
Hivyo hivyo unavyomtamani huyo na wewe wa kwako wapo wanaomuona mkali
Ridhika nae huyo huyo
 
Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo.

Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni.

kufika mapumzikoni, tulipokelewa na pisi kali; ile kumuona tu, mwili ukatikisika. Nikiangalia niliyeenda naye hayuko viwango kumzidi yule pisi kali. Ikabidi nijikaze tu, huku moyoni nikiumia.

Ile kesho yake nataka kuondoka, nikamkuta pisi kali kaunta; nikamtazama, nikajisemea kimoyo moyo;..Nitarudi siku nyingine.

Jamani, nyie mnaomiliki 'lodge' n.k msiwe, mnawaajiri pisi kali; watavunja mahusiano ya wateja wenu.
Shoo yake si uliielewa au ulipiga basi tu ilimradi utoe Njaa
 
Back
Top Bottom