MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Kwema wakuu!!!!
Leo nina kisa kidogo hapa cha kupotezea potezea muda.
Mida ya jioni leo nikasema nikatembelee mitaa flani kuwachek washkaji tubadilishane mawazo.
Nipo zangu road kuelekea kwa washkaji, katokea bodaboda kasi hatari. Ni main road ya mkoani, yule boda alivyomjinga kapita na chupa ya kufungashia maji ambayo ipo empty.
Lile chupa kalikanyaga Kwa nguvu na kuliburuza kwenye lami huku amelikanyaga vilevile likatoa sauti kubwa sana like "shwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa"
Sasa pembeni mwa road kulikuwa na wazungu kama wa4 hivi walistushwa na ile sauti ya lile chupa mpka nusu kidogo waanguke chini, yule muhuni Hana habari kaenda kuliachia kwa mbali kabisa.
Raia walipatwa na hisia tofauti tofauti wakutukana walitukana, wa kucheka walicheka na hao WAZUNGU kwasabab walikuwa hawajawahi experience kitu kama kile ndo wakastuka nusu waanguke chini nao wakaishia kucheka kwa aibu.