TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.

Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.

=======

Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo, Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.

Endelea kuwa karibu na Tanzaniaweb kwa Taarifa zaidi

Mwigizaji mkongwe nchini Tanzania aliyepata umaarufu zaidi kupitia Tamthiliya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia.

Kwa mujibu wa mtayarishaji wa Tamthiliya ya Zahanati ya Kijiji, Abdul Usanga, Bi Ubwa amefariki dunia Aprili 20, 2024.

Screenshot_20240420-18052.jpg
 
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.

Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejeaeo ni siku ya misiba mikubwa.
Hakika Leo ni siku ya misiba mikubwa.
Kafa Simba
Kafa pia Gadner G Habash.
Buriani marehemu wote. Mungu awapeni pumziko la milele
 
Back
Top Bottom