TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

Anasema ,nyerere kwanini ulijiuzulu na kutuchagulia mtu ,ona Sasa umeme wa mgao sikuhizi hauishi ,ccm ya Sasa dhaifu

Gadna ,drLemi ongala na bibi yetu huyu wapumzike kwa amani
Milele amina.
 
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.

Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.

=======

Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo, Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.

Endelea kuwa karibu na Tanzaniaweb kwa Taarifa zaidi

Mwigizaji mkongwe nchini Tanzania aliyepata umaarufu zaidi kupitia Tamthiliya Zahanati ya Kijiji, Bi Ubwa amefariki dunia.

Kwa mujibu wa mtayarishaji wa Tamthiliya ya Zahanati ya Kijiji, Abdul Usanga, Bi Ubwa amefariki dunia Aprili 20, 2024.

Jamani😭
 
Back
Top Bottom