Pichaaaaa. R.i.p
Nakazia
Hatumjui picha please
Kwa niaba ambao hatumfahamu
Apumzike kwa Amani.
Weka picha
Duuh kumbe ni huyo..
Ndio huyo.Duuh kumbe ni huyo..
๐ฅบ
Mmmmmh aiseee ๐ค๐ค๐ค๐ค๐คNdio huyo.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika.
Leo kuna misiba 3
Wapumzike kwa amani
Mtoto wake ndio katoa taarifa ghafla tu kuwa bi mkubwa kafarikiMmmmmh aiseee ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Leo hii ipite tuu..
Huyu ni gafla mno.
Kwa kweli...Mtoto wake ndio katoa taarifa ghafla tu kuwa bi mkubwa kafariki
Timu ya Simba na Bi. UbwaKwa kweli...
sisi sote ni wake na kwake tutarejea ....
Umesema leo misiba mitatu ukiacha gadnar nani mwingine...๐ค๐ค๐ค
Hajulikani, weka picha na wasifu wake.Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.
Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea
Sema uyu mzee alikua na content za kibish sanaaa๐คฃDrLemi ongala
Anaimba ,kwamba kifo kwanini hunipi taarifa nijiandae ,hakina huruma
Kifo ,kumanyookooo
Ungesema mapema nigawe Mali
Rip
Doooh ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบTimu ya Simba na Bi. Ubwa
Hatari shekheDoooh ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
Kwa kweliii ๐๐๐๐
Ule wa harusi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah nimetoka kuangalia mchezo wake na joti asubuhi hii
Apumzike kwa amani
Aliimba ccm na nyerere na hakiguswaSema uyu mzee alikua na content za kibish sanaaa๐คฃ
Kumbe ni Huyu Ninapenda sana Uigizaji wake nimeanza kumfatilia Tangu akiwa anaigiza na Joti..
dah kiukweli Mzee huna baya ๐คฃ๐R.i.P Classmate...๐ข
Umeondoka ukiwa bado mdogo kabisa...๐ช
Oooh jamani ...mwee