The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Umeandika nini hiki, ama ndio madhara ya division five?Kwa hiyo tuseme binti alivunja ungo na miaka 18.
Sasa ukichukua 33 toa 18 =15
Hivyo basi najaribu kufikiria huu ubichi unatoka wapi.
Ili kuelewa inabidi uache uraibu.Umeandika nini hiki, ama ndio madhara ya division five?
Bongo ndio kabisa gari ipo juu ya mawe kashakongoloka watu wameshatumia barabara zote vumbi na lamiKwa wazungu miaka 33 keshazeeka
Tafuta pesa dogoBaada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.
Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects on a man's brain.
Women's age sometimes acts as natural Viagra. Kama mwanaume you need a young lady, young girl friend or concubine.
View: https://twitter.com/FoxNews/status/1736734314484711921?s=19
Ghafla umekua mke wangu na kujua kwamba sina pesa?Tafuta pesa dogo
Kwa mtu mwenye miaka 60, mtu wa miaka 30 ni mbichi kwake.Labda neno mtoto mbichi limepoteza maana. Miaka 33 ana ubichi gani? Uyo ni mkangafu tu kama wengine.
Sawa.Kwa mtu mwenye miaka 60, mtu wa miaka 30 ni mbichi kwake.
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.
Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects on a man's brain.
Women's age sometimes acts as natural Viagra. Kama mwanaume you need a young lady, young girl friend or concubine.
View: https://twitter.com/FoxNews/status/1736734314484711921?s=19
Ni 12-13, tuseme ni 13, hivyo;Kwa hiyo tuseme binti alivunja ungo na miaka 18.
Sasa ukichukua 33 toa 18 =15
Hivyo basi najaribu kufikiria huu ubichi unatoka wapi.
Si kweli mama mwenye miaka 30 hawezi kuwa mbichi hata kwa babu wa miaka 75.Kwa mtu mwenye miaka 60, mtu wa miaka 30 ni mbichi kwake.
Sasa picha ya huyo mchuchu iko wapi?