TANZIA Muigizaji Carl Weathers afariki Dunia

Juzi nilikuwa napitia page ya predator fb nikawa najiuliza kuhusu wenzetu kuishi miaka mingi akiwemo huyu.

R.I.P legend.
Hata bongo mbona watu wanaishi tu. Steve Nyerere ana miaka 70 na bado anaigiza
 
Mwamba ametangulia. Ila hamna noma, nasi tuko njiani.

Nakumbuka sana ile scene ya kukatika mkono kwenye Predator movie .
 
Kwenye hii picha ndiyo nimemkumbuka uzuri...

Naona Wazee wenzangu wanaondoka tu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Rest well Champ ๐Ÿ™๐Ÿ™
Acha uoga mzee, face the death as a champ- not a coward.
Shida ni uoga was Hawa tunao waacha๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ