Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Kwa Amani kumejaa apumzike kwa bwanaheriSijui but apumzike kwa amani
Alikuwa anaigiza igizo gani huko mjini Dusalamu?Apumzike kwa amani 😭😭😭
Km ipi hio?RIP. Alikuwa na uwezo kubwa wa kuigiza kama mama.Aliigiza filamu nyingi za Marehemu kanumba
Apumzike kwa amani
Fatilia zile za kanumba za zamani yupo na Kuna huba ile ya DStv yupoAlikuwa anaigiza igizo gani huko mjini Dusalamu?
Nimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjuaFatilia zile za kanumba za zamani yupo na Kuna huba ile ya DStv yupo
Kipi hicho?Tasnia ya sanaa, burudani na michezo imepata kidudu mtu
Mkongwe wa sikunyingi huyu apumzike kwa amani