TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

TANZIA Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

Dah apumzike kwa amani, kuna kipind aliumwa sukar akakonda sn. Alikua muigizaj mzuri wale wahenga km mnakumbuka marehemu alikua kundi moja na kina bosi masinde, mlawa, mzee korongo,muna love. Alikua anajulikana km mama Kawele na maigizo yao yalikua yanarushwa Itv enzi hizo. Pia kaigiza movie nying nying tu
 
Azam alicheza tamthilia ya Panguso iliyoandaliwa na Jimmy Mafufu (Kipunje)
Alipewa role ya mke wa Prof Rutazingwa.
Mstari wa juu
Ni mtu wa pili,alipo Hidaya Njaidi mama wa Patrick Kanumba

Amefanya kazi nyingi nyingi mno huyu mama
Yaani yupo kwenye michezo Mingi toka enzi hizo hadi sasa
Currently alikuwa DStv huko
Nimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjua

Sisi wengine ni wadau wa Azam mkuu DStv hatuijui

RIP
View attachment 3141179
 

Attachments

  • IMG-20241102-WA0000.jpg
    IMG-20241102-WA0000.jpg
    47 KB · Views: 7

1730530696001.jpeg

Nyota wa Filamu na Tamthilia nchini, Grace Mapunda maarufu kwa jina la Tessa amefariki Dunia, leo Novemba 2, 2024

Sababu ya kifo cha Tessa ambaye hivi karibuni alikuwa akionekana kwenye Tamthilia ya Huba bado haijafahamika

photo_2024-11-02_08-54-20.jpg

Mtayarishaji wa Tamthilia ya Huba Lulu Hassan, ameandika “Go well mamaa...hili ni pigo kubwa sana kwa familia, jamaa, ndugu na marafiki... haswa tasnia ya filamu Afrika Mashariki… tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi... Pumzika kwa amani Tesa (Grace Mapunda)”
 
Back
Top Bottom