BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Umezaliwa Mwaka gani humjui hata Mzee Magari 'Derrick Mwanagu'?Kati ya watu huwa siwajui ni hawa waliopo kwenye industry...
Hiii kauli imekaaa kinafiki sana,,,, tusipangiane maisha….ishi utakavyo …..uvimbe au usinyae jua utakufa tu….tuishi vile inavyokuendeza wewe mwenyewe.🫡tukumbushane binadamu wenzangu
tuishi kwa amani upendo na kumnyenyekea Mungu. Tusivimbe
Jifunze kutoa matangazo siyo kila.mtu anamfahamu.
Pia tunaweza kujifunza sio kila uzi wa kuchangia. Mengine tukubali tu yatupite.Jifunze kutoa matangazo siyo kila.mtu anamfahamu.
Nimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjua
Sisi wengine ni wadau wa Azam mkuu DStv hatuijui
RIP
View attachment 3141179